Uzazi na Afya

Uzazi na Afya Kwa changamoto yeyote ya mifupa k**a maumivu ya mgongo,kiuno,shingo,nyonga, magoti tunatoa suluhisho

Kwa wale wanaoumwa na nyonga, hivi ndivyo inavyolika, ukiendelea kusubili bila matibabu hua inalika zaidi, suluhisho ni ...
28/05/2024

Kwa wale wanaoumwa na nyonga, hivi ndivyo inavyolika, ukiendelea kusubili bila matibabu hua inalika zaidi, suluhisho ni kuwahi tatizo, na punguza shuguli za kutembea sana au kukimbia.

Je unafanya mazoezi?Je unakula lishe bora?Je unalala pia ipasavyo?K**a hapana upata changamoto zifuatazo Uchuvu sugu Mau...
28/05/2024

Je unafanya mazoezi?
Je unakula lishe bora?
Je unalala pia ipasavyo?

K**a hapana upata changamoto zifuatazo
Uchuvu sugu
Maumivu makali ya Viungo
Homornes imbalance
Kutokupata choo kwa wakati
Uzito uliopitiliza
Kisukari
Kansa
Na n.k

Itaenda kukupa kijaziliahi Cha mlo wako wa kila siku unaokosekanika.....
IJALI AFYA YAKO....

📢📢SULUHISHO KWA  WAONASUMBULIWA NA TATIZO LA   YA   NA   (SARATANI YA MIFUPA)KANSA # KIFUA   ZA UTI WA  , ,  , , ,   KUW...
22/04/2024

📢📢SULUHISHO KWA WAONASUMBULIWA NA TATIZO LA

YA

NA (SARATANI YA MIFUPA)KANSA

# KIFUA

ZA UTI WA

,

,



,

, ,

KUWAKA MOTO

UMESHINDWA KUFANYA KAZI IPASAVYO NA UMEHANGAIKA KUTAFUTA KWA MIAKA MINGI BILA MAFANIKIO,BASI HABARI HII NI MUHIMU SANA KWAKO...

IKIWA WEWE NI MZEE NA UNASUMBULIWA NA TATIZO LA MIFUPA KWA MUDA MREFU BILA SULUHISHO BASI USIUMIE IPO TIBA MAKINI KABISA NA BAADA YA KUTUMIA HUTAJUTA TENA....

HAYO YA NA
Utatatuliwa changamoto hizo kwa kutumia ASILI(HERBAL) 🍃🌿🌳🌵ambayo imeandaliwa kitaalamu kwa kutoa virutubisho(NUTRIENTS)muhimu zinazohitajika mwilini kutoka kwenye Mimea na matunda HUENDA KUIMARISHA NA KUREJESHA AFYA NA UTENDAJI KAZI WA NA KATIKA HALI YAKE YA HAPO AWALI, Matumizi haya ya TIBALISHE yameleta matokeo makubwa kwa jamii ukizingatia CHAKULA NI DAWA.
Huna haja ya kwenda nchi za nje kutibiwa , kuhusu swala la Magonjwa ya Viungo na Mifupa tiba ipo huna sababu ya kuhangaika.....

K**a umetumia dawa za 🏥hospitali na hujapona wasiliana nasi ili upate tiba iliyosahihi kwa #🥬🥦TIBALISHE tunaamini utapona tu.

DAWA HIZI ZIMETENGENEZWA KWA MFUMO WA VIDONGE HIVYO UTATUMIA KWA MJIBU WA MAELEKEZO .....

NIKUONDOE WASIWASI DAWA HIZI ZIMEKUWA USHUHUDA MKUBWA HASA KWA WALE WALIOKUWA NA SHIDA YA BARIDI YABISI...KUKAKAMAA KWA VIUNGO ....

Usiruhusu wako kukata tamaa.

Chukua Hatua afya yako ni ya thamani sana wasiliana nami sasa

CHAKULA cha Kuzuia Kuzeeka Haraka..!!!ILI kudumisha muonekano wa ujana kwa mwili wako unahitaji kuupa mahitaji yake yali...
22/04/2024

CHAKULA cha Kuzuia Kuzeeka Haraka..!!!

ILI kudumisha muonekano wa ujana kwa mwili wako unahitaji kuupa mahitaji yake yaliyobadilika. Kuzuia kuzeeka haraka unahitaji chakula chenye calcium ya kutosha kuipa mifupa yako nguvu na kupata chakula chenye collagen kwa wingi ili kuifanya ngozi yako isiwe na makunyanzi mwilini, kiashiria cha uzee.

Mwili una uwezo wa kudhibiti madhara yanayotokana na uwepo wa free radicals kwa kiasi fulani, lakini idadi ikizidi mwili huzidiwa na madhara mengi hutokea, yakiwepo kuzeeka kwa mwili na magonjwa mengi k**a kansa, magonjwa ya moyo, mifupa (arthritis), usahaulifu (Alzheimer’s), ugonjwa wa parkinson’s na kisukari.

Free radicals katika mwili huweza kuongezeka kwa kutumia vitu kutoka nje ya mwili. Sumu kutoka nje zinazozalisha free radicals katika mwili ni pamoja na hewa chafu hasa inayotoka kwenye viwanda, moshi wa sigara, na chakula chenye dawa za kuulia wadudu na utumiaji wa pombe kwa kiwango cha kuzidi kiwango.

Kiwango kidogo cha free radicals kinachozalishwa na mwili wenyewe kinaweza kikadhibitiwa vizuri na kemikali nyingine zinazoitwa antioxidants ambazo nazo pia huzalishwa na mwili.

Free radicals za ziada zinazozalishwa na vitu kutoka nje ya mwili zisipodhibitiwa kikamilifu husababisha madhara mengi pamoja na magonjwa yaliyotajwa hapo juu.

Hivyo basi tunahitaji kupata chakula chenye antioxidants kwa wingi ili kuisaidia miili yetu kupambana na kemikali hizi za ziada. Kuna aina nyingi za antioxidants zikiwemo vitamini C, vitamini E, flavonoids na polyphenols kwa kutaja tu bila kuingia kwa undani zaidi.

Baada ya utangulizi huo, sasa ni wakati wa kupitia chakula ambacho kikitumiwa kitakupa vitu tulivyovitaja hapo juu na kuufanya mwili wako kuwa na mwonekano wa ujana daima.

Vitamini C

Katika utafiti wa Mtafiti Herman uliofanywa kwenye kikundi cha wanawake wenye umri wa miaka zaidi ya 40 ulionyesha kwamba wanawake wanaotumia chakula chenye vitamini C zaidi walikuwa na makunyanzi zaidi na ngozi zao hazikuwa kavu ukilinganisha na wale ambao walitumia vitamini hiyo kidogo.

Hii ni kwa sababu vitamini C ni antioxidant yenye nguvu inayozuia uharibifu wa seli na DNA za seli hivyo kulinda uzalishaji wa collagen

Ukweli huu unachangia kuongezeka kwa ukali na hatari ya vifo baada ya kuvunjika, pamoja na mambo mengine kwa sababu kwa ...
18/04/2024

Ukweli huu unachangia kuongezeka kwa ukali na hatari ya vifo baada ya kuvunjika, pamoja na mambo mengine kwa sababu kwa kuzeeka pia kuna hali ya kuvimba kwa muda mrefu kwa kiwango cha chini ambacho huharakisha mchakato wa uharibifu wa mfupa, na hivyo kuongeza hatari ya kuvunjika na kusababisha ugumu kuitengeneza.

Kwa umri, upungufu wa vitamini D pia huongezeka, homoni ya msingi kwa madini na ubora wa mfupa, na kazi ya misuli hupungua.

Matumizi mabaya ya pombe au kuendelea na matibabu na glucocorticoids inayotumiwa k**a dawa za kuzuia uchochezi au za kinga, mchakato huo unaharakishwa zaidi.

Katika hatua hii, ni lazima tujue kwamba ubora wa mifupa yetu una athari ya moja kwa moja kwa afya yetu. Kwa hivyo, kila mtu, awe mwanaume au mwanamke, anapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kutunza mifupa zaidi ya yote, kula milo mbalimbali yenye madini ya chuma na vitamini D, kupunguza matumizi ya pombe na kuepuka tumbaku.

SABABU Damu ya Herniated OverweightKuinua bidhaa nzitoChuja mgongoniMaumivu ya ghaflaSpinal Stenosis Uti wa mgongo kuwa ...
01/04/2024

SABABU

Damu ya Herniated
Overweight
Kuinua bidhaa nzito
Chuja mgongoni
Maumivu ya ghafla
Spinal Stenosis
Uti wa mgongo kuwa mwembamba
Shinikizo la mgongo
Jeraha kutokana na ajali
Utulivu
Uso wa rangi
udhaifu
Shinikizo la mgongo
Scoliosis
Tatizo la Homoni
Mviringo katika Uti wa Mgongo
Kuongeza Uzito
Kuongezeka kwa dhiki
Thoracic
Usumbufu katika eneo la juu la mgongo
Uzito usio na udhibiti
Maumivu ya mgongo wa kati
Maumivu ya chini ya nyuma
Homa
Maumivu ya neva
Kiwewe kiwewe
Ishara:
Dalili za kawaida ambazo zinaweza kupatikana ni maumivu makali nyuma na miguu. Maumivu makali wakati mwingine yanaweza kuhisiwa wakati kuna shida kubwa katika ujasiri. Mara nyingi maumivu huenda bila matibabu yoyote, lakini ikiwa kuna suala kubwa nyuma ya kushauriana na daktari itakuwa chaguo bora zaidi. Wakati wa kutembelea daktari:

Scoliosis:Ni mpindano katika uti wa mgongo ambao unaweza kuonekana wakati wa kuzaliwa au unaweza kuonekana katika utoto ...
01/04/2024

Scoliosis:

Ni mpindano katika uti wa mgongo ambao unaweza kuonekana wakati wa kuzaliwa au unaweza kuonekana katika utoto wa baadaye. Mara nyingi, wasichana watagunduliwa na maumivu haya ya mgongo zaidi ya wavulana. Mishipa ya uti wa mgongo yenye afya daima ina mkunjo wa mbele kwenda nyuma, lakini watu walio na scoliosis wanaweza kupatikana wakiwa na miiba ya kando ambayo inaweza kusababisha kupata uzito au kuongezeka kwa mkazo. Ugonjwa huo unaweza kusababisha matatizo katika umri mdogo kwani tatizo linazidi kuwa mbaya.

Aina za maumivu ya mgongo:Diski ya Herniated:Inaweza kuwa mzigo wa ghafla nyuma yako. Inaweza kutokea k**a kuzorota kwa ...
01/04/2024

Aina za maumivu ya mgongo:

Diski ya Herniated:

Inaweza kuwa mzigo wa ghafla nyuma yako. Inaweza kutokea k**a kuzorota kwa umri. Shida hii inaweza kuponywa kwa kufanya mazoezi ya kila siku ambayo yatasaidia kuimarisha mgongo wako. Pia, uzito mkubwa unaweza kusababisha diski za herniated. Kuinua uzito mkubwa ndio sababu ya kupata shida ya ghafla.

Maumivu ya Mgongo ni nini?Maumivu ya mgongo ni shida ya kawaida sana siku hizi, ambayo inaweza kupatikana kwa karibu kil...
01/04/2024

Maumivu ya Mgongo ni nini?

Maumivu ya mgongo ni shida ya kawaida sana siku hizi, ambayo inaweza kupatikana kwa karibu kila mtu mzima. Kwa wengi, sio shida kubwa sana, lakini katika hali zingine, maumivu ya chini ya nyuma inaweza kuwa na matatizo. Maumivu ya nyuma yanaweza kutokea kutokana na matatizo ya misuli au ligament. Katika shughuli za kila siku mahali fulani au nyingine, tunaweza kupata mkazo katika mgongo wetu. Maumivu ya mgongo yanaweza kupatikana kwa watu wa vikundi tofauti vya umri. Kwa umri wa kukua, maumivu ya chini ya nyuma yanaweza kupatikana kwa watu wa uzee.

Maumivu ya chini ya nyuma wakati mwingine hawezi kuwa ugonjwa. Kwa kawaida husababisha baadhi ya matatizo k**a vile mishipa, neva, na uti wa mgongo ambao una vertebrae. Asilimia 90 ya maumivu yanaweza kuponywa bila upasuaji au daktari. Ikiwa maumivu ya nyuma yanaongezeka, basi wanapaswa kumuona daktari ..

Maumivu ya  goti yanaweza kumpata mtu yoyote.  Oll group age Maumivu ya goti hutokea pale kuna kuumia maeneo k**a yenye ...
12/03/2024

Maumivu ya goti yanaweza kumpata mtu yoyote. Oll group age
Maumivu ya goti hutokea pale kuna kuumia maeneo k**a yenye gegedu (cartilage) au ligament

Nini husababisha maumivu ya goti??

Mifupa kukosa afya ( arthritis)
Gout (kiwango kikubwa cha tindikali mwilini)
Maambukizi kwenye afya ya mifupa maungio n.k (Bursitis)
Majukumu ya kila siku, mazoezi
Uzito ulipzidi (obesity)
Kulika kwa gegedu
Vijivimbe kwenye maungio (baker’s cyct)
Kulika kwa maungio joints (osteoarthritis)

Maumivu ya mara kwa mara ya tokanayo na inflammation Kwenye maungio kupelekea kuharibu mifupa (Rheumatoid Arthritis)

Dalili za maumivu ya goti
Goti kuvimba
Kuwa na wekundu na kuhisi goti la moto unapoligusa
Kuhisi kuchoka kushidwa kusimama au kukaa mda mrefu (u fill discomfortable)
Kusikia goti linatoa mlio
Kukosa uimara kwenye goti
Maumivu makali ya mara kwa mara

Madhara
Kuvimba kwa magoti.
Kuvuja damu
Utashidwa kukaa, kusimama n.k

Maumivu ya nyuma ya mgongo, takoPaja hadi kwenye unyayo husababishwa na tatizo la sciaticaNa huanzia kwenye pingili za m...
12/03/2024

Maumivu ya nyuma ya mgongo, tako
Paja hadi kwenye unyayo husababishwa na tatizo la sciatica
Na huanzia kwenye pingili za mgongo (kiuno) lumber
Mara nyingi shida huanzia L4,L5,S1

✍️
12/03/2024

✍️

03/01/2024
Different types of bone fractures
03/01/2024

Different types of bone fractures

Mwaka 2013 ufundi huu alifanyiwa Xie Wei ambaye alikua anafanya kazi kiwanda fulani cha kichina, katika majukumu yake ba...
18/12/2023

Mwaka 2013 ufundi huu alifanyiwa Xie Wei ambaye alikua anafanya kazi kiwanda fulani cha kichina, katika majukumu yake bahati mbaya mkono ukakatwa na mashine, ili mkono usife (maana ukikosa mzunguko wa damu mkono hautakua na kazi tena) madaktari kwa haraka wakashika mguu wa Xie Wei wakachana sehemu ya ankle ya mguu wake kisha wakaunganisha mkono kwenye mishipa ya damu ya ankle ili mkono uendelee kupata mzunguko wa damu, mkono ulikaa hapo kwa mwezi mmoja wakati madaktari wakijipanga namna gani watarudisha mkono huo mahala pake, baada ya mwezi , wakaingia chumba cha upasuaji, wakautoa mkono ule mguuni kisha wakaurudisha mahali pake, baada ya siku kadhaa Xie Wei alikua anaweza kukunja mkono wake ila mkono ulikua hauna hisia sababu ya mfumo wa fahamu ulikua bado haujaunga, madaktari wakamwambia itachukua muda kidogo na baadae akapona. ✍️

FAHAMU KUHUSU MAUMIVU YA JOINTS NA MGONGO. JOINTS/MAUNGIOni sehemu ya mwili inayounganisha mfupa mmoja na mwingine,eneo ...
12/12/2023

FAHAMU KUHUSU MAUMIVU YA JOINTS NA MGONGO.

JOINTS/MAUNGIO
ni sehemu ya mwili inayounganisha mfupa mmoja na mwingine,eneo kati ya mfupa na mfupa mfano goti,kiuno,nk.

Kumekuwa na changamoto nyingi sana inayohusu mfumo huu wa mifupa,joint pamoja na misuli ya mwili wako.

Na tatizo hili liko kwa watu wa jinsia zote.Kadiri ya umri unavyozidi kwenda ndivyo watu wengi huzidi kupata udhaifu katika viungo hivi,hususani kina mama lakini pia hata wana michezo,hufanyaji mazoezi mara kwa mara pia hupelekea kuisha na kuchakaaa ute ute au ulainishi katika joint kumalizika,
na hivyo kupelekea msuguano katika joints.

Matatizo ya mifupa.
Wako watu wengi sana hulalamika maumivu ya mgongo pasipo kujua chanzo hasa ni kipi,lakini kinachopata maumivu hapa ni mifupa pamoja na misuli na hii ni kwasababu ya ukosefu wa madini muhimu ambayo husapoti afya hii ya mifupa na misuli.

CHANGAMOTO ZITOKANAZO NA JOINTS/MIFUPA:-
• Mgongo kuuma sana
• Joints kuisha ute ute na maumivu makali
• Miguu kufa ganzi
• Misuli ya sehemu husika kukaza na kuuma
• Kushindwa kutembea kwa kawaida mpaka sapoti
• Magoti kupiga kelele k**a unavunja muwa
• Magoti kuvimba.

HIKI NI CHANZO CHA MAUMIVU YA JOINTS NA MFUPA:-
1. Uzito mkubwa
2. Ukosefu wa ute ute kwenye viungo
3. Upungufu wa madini muhimu mwilini k**a calcium
4. Kina mama waliofikia/kukaribia meno pouse(kukoma hedhi)
5. Ufanyaji mazoezi wa mara kwa mara bila kuzingatia lishe ya vilainishi kwenye viungo.
Tiba ya matatizo haya yanategemeana hasa kisababishi ni nini.

Tibalishe kutoka kwangu✅Hufanya mwili kuzalisha glucosiamine ambayo ndio ina uwezo wa kuzalisha gegedu mwilini.✅ Kurejes...
12/12/2023

Tibalishe kutoka kwangu
✅Hufanya mwili kuzalisha glucosiamine ambayo ndio ina uwezo wa kuzalisha gegedu mwilini.
✅ Kurejesha tena gegedu iliyolika

CARTILAGE (gegedu)
Huu ni utando unaofunika eneo ambalo mifupa hugusana ili kuzuia mifupa hii isisuguane moja kwa moja. Utando huu huyawezesha maungio kufanya kazi kiulaini pasipo kusababisha maumivu.

Hitilafu yoyote kwenye viungo huleta maumivu tena makali yasiyovumilika. Inawezekana ikawa  ni ute ute umeisha/ gegedu l...
12/12/2023

Hitilafu yoyote kwenye viungo huleta maumivu tena makali yasiyovumilika. Inawezekana ikawa ni ute ute umeisha/ gegedu linalika au sehemu yoyote imeathiriwa. Kuendelea kuhisi maumivu na kuyasikilizia tu bila kutafuta tiba ni kuendelea kufanya tatizo kuwa kubwa zaidi hata ulemavu wa kudumu.

NITAFUTE NIKUPATIE SULUHISHO

SababuMaumivu ya mguu yanaweza kutokea kwa sababu ya uchaguzi fulani wa maisha au hali ya matibabu. Sababu za kawaida ni...
06/12/2023

Sababu

Maumivu ya mguu yanaweza kutokea kwa sababu ya uchaguzi fulani wa maisha au hali ya matibabu. Sababu za kawaida ni pamoja na:

Chaguo la mtindo wa maisha:

Moja ya sababu kuu za maumivu ya mguu ni kuvaa viatu vya kubana. Kuvaa viatu vya kisigino mara nyingi kunaweza kusababisha maumivu ya mguu kwa sababu huweka shinikizo nyingi kwenye vidole.

Unaweza pia kupata maumivu ya mguu ikiwa utajijeruhi wakati wa mazoezi yenye athari kubwa au shughuli za michezo, k**a vile kukimbia au aerobics yenye nguvu.

Matatizo ya Kawaida ya Matibabu:

Matatizo mbalimbali ya matibabu yanahusishwa kwa karibu na maumivu ya mguu.

Ugonjwa wa kisukari unaweza pia kusababisha matatizo na matatizo kadhaa ya mguu. Watu wenye ugonjwa wa kisukari wana uwezekano mkubwa wa:

Uharibifu wa neva katika miguu

Mishipa iliyozuiwa au ngumu kwenye miguu na miguu

Vidonda vya miguu au vidonda

Pia uko katika hatari kubwa ya kuteseka na maumivu ya mguu ikiwa:

Una uzito kupita kiasi au unene

Wewe ni mjamzito

Una jeraha la mguu k**a vile kuteguka, kuvunjika, au tendonitis

Sababu zingine zinazowezekana za maumivu ya mguu ni pamoja na:

pembe

Wito

Vitunguu

Waridi

Misumari ya miguu iliyoingia

Dawa zinazosababisha uvimbe kwenye miguu

Morton's neuroma, ambayo huenea karibu na tishu za ujasiri kati ya vidole karibu na pekee

Nyundo

Mguu wa mwanariadha

Ulemavu wa Haglund, ambao ni upanuzi wa sehemu ya nyuma ya mfupa wa kisigino

Ugonjwa wa ateri ya pembeni

Matao yaliyoanguka

Plantar Fasciitis

Gout, hasa inayoathiri kidole kikubwa cha mguu karibu na pekee

CHANZO CHA ARTHRITIS NI NINI? Kusudi kuelewa chanzo cha ugonjwa huu, hebu kwanza tutazame muundo wa joint au sehemu mifu...
06/12/2023

CHANZO CHA ARTHRITIS NI NINI?

Kusudi kuelewa chanzo cha ugonjwa huu, hebu kwanza tutazame muundo wa joint au sehemu mifupa miwili inapokutana. Fikiria goti ambapo mifupa miwili mmoja wa paja na mwingine wa mguu vinapokutana:



LIGAMENTS:
Ndicho kitu kinachoshikilia mifupa hii miwili pamoja. Hii ni k**a utepe wa plastiki au mpira unaonyumbuka uliozunguka eneo hilo kwa nje, ukikunja goti inanyumbuka na ukinyoosha mguu inarudi.

CARTILAGE:
Huu ni utando unafunika eneo ambalo mifupa hugusana ili kuzuia mifupa hii isisuguane moja kwa moja. Utando huu ambao kwa kiswahili tunauita gegedu huyawezesha maungio hayo kufanya kazi kiulaini pasipo kusababisha maumivu.

CAPSULES:
Hiki ni kitu kinachofunika maungio haya kikizunguka pande zote. Ndani ya mfuko huu wa capsule kuna synovial fluid ambayo huzalishwa na synovial membrane. Synovial fluid ni ute wa kulainisha sehemu hiyo ya maungio na synovial membrane ni utando ulio kwenye kuta za ndani za capsule.

Ugonjwa wa arthritis unasababishwa na hitilafu yo yote katika sehemu hizo za maungio ya mifupa. Inaweza kuwa cartilage inalika, upungufu wa synovial fluid, maambukizi ya vijidudu katika moja ya maeneo hayo au mchanganyiko wa matatizo.


AINA ZA UGONJWA WA JOINTS-ARTHRITIS

K**a nilivyoeleza hapo juu, kuna aina zaidi ya 100 za ugonjwa huu wa joints au arthritis. Katika mada yetu ya leo tutatazama aina k**a nne hivi za ugonjwa huu, tukielezea chanzo cha kila aina.

OSTEOARTHRITIS:
Hii ni aina ya arthritis inayosumbua watu wengi zaidi kuliko aina nyingine zote. Ugonjwa huu huwapata zaidi watu wenye umri mkubwa. Osteoarthritis hutokea pale cartilage inapopoteza uwezo wake wa kubonyea na kuwa ngumu hivyo kuharibika haraka. Cartilage ni kiungo cha kuhimili migandamizo ya ghafla (shock absorber). Cartilage hii inapopoteza ubora wake, tendons na ligaments huvutika na kusababisha maumivu. Hali ya uharibifu huu wa cartilage ikiendelea, mwishowe mifupa huanza kusuguana moja kwa moja na ndipo mgonjwa atakapoanza kupata maumivu makali sana.
Athari za ugonjwa huanza taratibu na kuongezeka na muda. Kutaanza kutokea maumivu kwenye joint baada ya kufanya shuguli fulani au baada ya mapumziko ya muda mrefu. Joints zitakaza, hasa map

RHEUMATOID ARTHRITIS: Ugonjwa huu hutokea pale mfumo wa kinga ya mwili kwa bahati mbaya kuanza kushambulia viungo vya mw...
06/12/2023

RHEUMATOID ARTHRITIS:
Ugonjwa huu hutokea pale mfumo wa kinga ya mwili kwa bahati mbaya kuanza kushambulia viungo vya mwili ikiwa ni pamoja na synovial membrane (synovium) na kusababisha uvimbe na maumivu. Hali hii isipodhibitiwa, huweza kusababisha ulemavu. Ugonjwa huu unaweza pia kushambulia macho, ngozi, mapafu, midomo, damu na mishipa ya damu. Huu ni ugonjwa ambao zaidi ni wa wanawake na huwatokea zaidi wawapo kati ya umri wa miaka 40 hadi 60. Mgonjwa atasikia maumivu na kuona uvimbe kwenye joints za pande zote za mwili, yaani k**a ni magoti, yote mawili la kulia na la kushoto, yote yatashambuliwa. Viungo vinavyoshambuliwa zaidi ni vidole, viwiko vya mikono na miguu.
Athari zake huonekana zaidi asubuhi unapoamka na maumivu yanaweza kudumu kwa muda wa hadi nusu saa. Muathirika wa ugonjwa huu hujisikia mchovu muda wote, hukosa hamu ya kula na hupungua uzito.

OSTEOARTHRITIS: Hii ni aina ya arthritis inayosumbua watu wengi zaidi kuliko aina nyingine zote. Ugonjwa huu huwapata za...
06/12/2023

OSTEOARTHRITIS:
Hii ni aina ya arthritis inayosumbua watu wengi zaidi kuliko aina nyingine zote. Ugonjwa huu huwapata zaidi watu wenye umri mkubwa. Osteoarthritis hutokea pale cartilage inapopoteza uwezo wake wa kubonyea na kuwa ngumu hivyo kuharibika haraka. Cartilage ni kiungo cha kuhimili migandamizo ya ghafla (shock absorber). Cartilage hii inapopoteza ubora wake, tendons na ligaments huvutika na kusababisha maumivu. Hali ya uharibifu huu wa cartilage ikiendelea, mwishowe mifupa huanza kusuguana moja kwa moja na ndipo mgonjwa atakapoanza kupata maumivu makali sana.
Athari za ugonjwa huanza taratibu na kuongezeka na muda. Kutaanza kutokea maumivu kwenye joint baada ya kufanya shuguli fulani au baada ya mapumziko ya muda mrefu. Joints zitakaza, hasa mapema asubuhi unapotaka kuanza shughuli zako za kawaida. Siku zinavyosogea ndivyo utakavyoona ni vigumu zaidi kukitumia kiungo chako. Mara nyingine utaona uvimbe kwenye joint. Osteoarthritis hushambulia zaidi nyonga, mikono, magoti na uti wa mgongo.

MAGONJWA YA MAUNGIO YA MIFUPA(Athritis) Leo tutazungumzia tatizo linalowapata watu wengi sana pale umri wao unapokuwa um...
06/12/2023

MAGONJWA YA MAUNGIO YA MIFUPA(Athritis)

Leo tutazungumzia tatizo linalowapata watu wengi sana pale umri wao unapokuwa umezidi miaka 50 na hasa wale wenye miili mikubwa. Nina uhakika kuwa umewaona akina mama wenye umri mkubwa na miili mikubwa wanavyopata shida kutembea huku wakiinama toka upande mmoja hadi mwingine kila wakipiga hatua au shida wanayopata pale inapowabidi kupanda ngazi au kukuchuchumaa. Maneno k**a “ugonjwa wa kuumwa joints, nina tatizo la joints, maumivu ya joints” na maumivu ya mifupa umeyasikia mara nyingi. Tatizo hasa hapa ni nini? Ungana nami katika mada hii uujue ugonjwa huu wa arthritis.

UGONJWA WA ARTHRITIS NI NINI?

Arthritis ni ugonjwa unaotokana na namna yo yote ya hitilafu katika maungio ya mifupa ya binadamu ambao husababisha maumivu na pengine kuvimba katika sehemu moja au zaidi ya maungio hayo. Neno arthritis halilengi ugonjwa mmoja bali jamii ya magonjwa ambayo kwa ujumla yapo zaidi ya 100. Tabia kuu ya magonjwa haya ni maumivu kwenye maungio ya mifupa (joints) ambayo ni endelevu na ambayo hutokea eneo hilo moja.

CHANZO CHA ARTHRITIS NI NINI?

Kusudi kuelewa chanzo cha ugonjwa huu, hebu kwanza tutazame muundo wa joint au sehemu mifupa miwili inapokutana. Fikiria goti ambapo mifupa miwili mmoja wa paja na mwingine wa mguu vinapokutana:



LIGAMENTS:
Ndicho kitu kinachoshikilia mifupa hii miwili pamoja. Hii ni k**a utepe wa plastiki au mpira unaonyumbuka uliozunguka eneo hilo kwa nje, ukikunja goti inanyumbuka na ukinyoosha mguu inarudi.

CARTILAGE:
Huu ni utando unafunika eneo ambalo mifupa hugusana ili kuzuia mifupa hii isisuguane moja kwa moja. Utando huu ambao kwa kiswahili tunauita gegedu huyawezesha maungio hayo kufanya kazi kiulaini pasipo kusababisha maumivu.

CAPSULES:
Hiki ni kitu kinachofunika maungio haya kikizunguka pande zote. Ndani ya mfuko huu wa capsule kuna synovial fluid ambayo huzalishwa na synovial membrane. Synovial fluid ni ute wa kulainisha sehemu hiyo ya maungio na synovial membrane ni utando ulio kwenye kuta za ndani za capsule.

Ugonjwa wa arthritis unasababishwa na hitilafu yo yote katika sehemu hizo za maungio ya mifupa. Inaweza kuwa cartilage inalika, upungufu wa synovial fluid, maambukizi ya

Maumivu ya mgongoWengi mnatumia dawa lakini tatizo haliondokiHii Kwa sababu hutibu chanzo kiliopelekea wewe kupata maumi...
04/12/2023

Maumivu ya mgongo

Wengi mnatumia dawa lakini tatizo haliondoki
Hii Kwa sababu hutibu chanzo kiliopelekea wewe kupata maumivu
Haswa unapofanya vipimo k**a X-ray au MRI na hakuna tatizo lolote

Maumivu ya mgongo kwa juu hii ni maumivu ya kuhama inatokana na matatizo kwenye mfumo wa mmeng’enyo wa chakula

Mfano Picha hapo ikijaribu kueleza

K**a unapata maumivu number 1 ni maumivu ya shingo huenda yakashuka kwenye bega upande wa kulia hii inatokana kwenye utumbo haunyonyi protein na sukari ipasavyo

👉🏽2. K**a unapata maumivu sehemu ya 2 Inatokana kwenye ini halinyonyi virutubisho

👉🏽3. Sehemu ya juu ya kifua ya kushoto ni mfumo wa chakula umezidiwa na vyakula visivo na virutubisho tosha k**a wanga , jamii za korosho kwa wingi , nk

👉🏽4. Sehemu ya kushoto ya bega mpaka mkono ni shida kwenye moyo

👉🏽5 na 6 ni maumivu inatokana na shida kwenye figo

Dawa IPO
Dozi miezi 3 mfululizo

Kwa maelezo zaidi tupigie 0786882412/whatsap link kwenye bio

Je unaamini??😂
04/12/2023

Je unaamini??😂

Maumivu yakipungua tunamshukuru Mungu dallili ya maumivu mwilini Moja wapo ya tatizo
04/12/2023

Maumivu yakipungua tunamshukuru Mungu dallili ya maumivu mwilini Moja wapo ya tatizo

Address

Rajshahi Division

Telephone

+255786882412

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uzazi na Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Uzazi na Afya:

Videos

Share