Gcat International Hospital

Website

Gcat International Hospital Tunahusika na virutubishe lishe pamoja na Ushauri

VIPIMO Na MATIBABUβ–ͺ️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 30,000/= Magonjwa tunayo tibu ni;βœ… Ma...
21/08/2026

VIPIMO Na MATIBABU
β–ͺ️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 30,000/=

Magonjwa tunayo tibu ni;
βœ… Matatizo ya Moyo na INI
βœ…Kansa,
βœ…Vidonda vya Tumbo,
βœ…Kisukari
βœ…Pumu
βœ…Stroku.
βœ…Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
βœ…Matatizo ya mifupa,
βœ…Matatizo ya miguu
βœ…Ngozi,
βœ…Figo,
βœ…Fangasi sugu
βœ…Kupunguza unene, uzito, na matumbo
βœ…Kuongeza kinga mwilini(CD4)
βœ…U.T.I sugu,Gesi
βœ…Bawasiri,
βœ…Tenzi dume
βœ…Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBA LISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
πŸ‘‰ Kuosha
πŸ‘‰ Kulinda/ Kukinga
πŸ‘‰ Kujenga
πŸ‘‰ Kutibu

Karibu sana Upate huduma Zetu.
Wasiliana nasi kwa simu namba
0755788085

πŸ₯ GCAT INTERNATIONAL HOSPITAL🩺 VIPIMO VYA AFYA KWA 30,000/= TU!Je, unahitaji kufanya uchunguzi wa afya yako? Usisubiri d...
21/08/2026

πŸ₯ GCAT INTERNATIONAL HOSPITAL

🩺 VIPIMO VYA AFYA KWA 30,000/= TU!

Je, unahitaji kufanya uchunguzi wa afya yako? Usisubiri dalili ziwe kubwa! Tunatoa huduma ya vipimo na uchunguzi wa magonjwa sugu yasiyoambukizwa Tanzania nzima πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Tunapima magonjwa mbalimbali k**a:
βœ… Kisukari
Kukojoa mara kwa mara
Kiu kupita kiasi, njaa nyingi
Kupungua uzito
Uchovu na vidonda kuchelewa kupona.

βœ… Shinikizo la damu
Maumivu ya kichwa
Kizunguzungu, uchovu
Moyo kwenda kasi

βœ… Magonjwa ya moyo
Maumivu au kubana kifuani,
Kupumua kwa shida
Moyo kwenda mbio na kuchoka haraka.

βœ… Magonjwa ya figo
Miguu au uso kuvimba,
Mabadiliko ya mkojo,
Uchovu wa mwili mzima,
Maumivu ya kiuno na kupungua au kuongezeka
kwa mkojo.

βœ… Matatizo ya uzazi kwa wanawake
Hedhi isiyo ya kawaida,
P.I.D
U.T.I Sugu
Vivimbe maji
Maumivu makali ya tumbo la chini,
Kutokwa na uchafu usio wa kawaida,
Maumivu wakati wa tendo la ndoa
Kuchelewa kupata ujauzito na mimba kuharibika
kabla ya kufika muda wa kujifungua.

βœ… Matatizo ya uzazi kwa mwanaume
Kushindwa kutungisha mimba
Kupungua kwa Nguvu za kiume
Kumwaga shahawa haraka na kutompandisha
mwenzio mlima ,
Maumivu au uvimbe kwenye korodani
Ulegevu wakati WA tendo la ndoa

βœ… Magonjwa ya ini
Macho au ngozi kuwa ya njano
Tumbo kuvimba, maumivu upande wa kulia wa
tumbo, uchovu na kukosa hamu ya kula.

βœ… Bawasiri

βœ… Gout (Maumivu ya viungo yanayosababishwa na uric acid nyingi)
Maumivu makali ya ghafla kwenye viungo, hasa
kidole gumba cha mguu, uvimbe, wekundu na joto
kwenye kiungo.

βœ… Arthritis (Uvimbe na maumivu ya viungo)
Maumivu ya viungo, uvimbe, kukak**aa na
kushindwa kukunja au kutumia kiungo vizuri.

βœ… Magonjwa ya tezi
Moyo kwenda kasi au polepole, kupungua au kuongezeka uzito bila sababu, uchovu, kutokwa jasho sana na mabadiliko ya hisia.

βœ… Upungufu wa damu
Uchovu kupita kiasi, kizunguzungu, kupumua kwa
shida, moyo kwenda kasi na mwili kuwa dhaifu.

βœ… Osteoporosis (Udhaifu wa mifupa)
Mifupa kuwa dhaifu na kuvunjika kwa urahisi, maumivu ya mgongo na kupungua urefu kwa baadhi ya watu.

βœ… Magonjwa ya mapafu
Kukohoa kwa muda mrefu, kupumua kwa shida, kifua kubana, sauti ya kubanwa wakati wa kupumua na maumivu ya kifua.

βœ… Vidonda vya tumbo
Maumivu ya tumbo, kiungulia, gesi nyingi, kuharisha au kufunga choo, kichefuchefu na kutapika.

βœ… Saratani na uchunguzi wa awali wa magonjwa mbalimbali
Uvimbe usio wa kawaida, kupungua uzito bila sababu, uchovu wa muda mrefu, kutokwa damu kusiko kawaida, maumivu yasiyoisha na mabadiliko yasiyo ya kawaida mwilini.

πŸ”¬ Huduma bora β€’ Matokeo sahihi na ya kuaminika β€’ Wataalamu wa afya

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ TUNAHUDUMIA TANZANIA NZIMA

πŸ’° VIPIMO KWA 30,000/= TU!

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: 0755788085

🌿 GCAT INTERNATIONAL HOSPITAL
Afya yako, kipaumbele chetu.

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZOβ–ͺ️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 30,000/...
14/08/2026

VIPIMO,,, USHAURI NA MATIBABU KWA BEI YA PUNGUZO
β–ͺ️ Vipimo vya mwili mzima, Kupimwa magonjwa yote mwilini ni Tshs 30,000/= tu
β–ͺ️ Punguzo la bei 20% kwa kila dawa( bidhaa zetu )

Magonjwa tunayo tibu ni;
βœ… Matatizo ya Moyo na INI
βœ…Kansa,
βœ…Vidonda vya Tumbo,
βœ…Kisukari
βœ…Pumu
βœ…Stroku.
βœ…Matatizo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
βœ…Matatizo ya mifupa,
βœ…Matatizo ya miguu
βœ…Ngozi,
βœ…Figo,
βœ…Fangasi sugu
βœ…Kupunguza unene, uzito, na matumbo
βœ…Kuongeza kinga mwilini(CD4)
βœ…U.T.I sugu,Gesi
βœ…Bawasiri,
βœ…Tenzi dume
βœ…Heshima ya ndoa kwa kina baba. N.k

TIBA ZETU NI TIBA LISHE NA VIRUTUBISHO.
Ambavyo hufanya kazi kuu nne ( 4 ) mwili
πŸ‘‰ Kuosha
πŸ‘‰ Kulinda/ Kukinga
πŸ‘‰ Kujenga
πŸ‘‰ Kutibu

Karibu sana Upate huduma Zetu.
Wasiliana nasi kwa simu namba
0755788085

🌸 UMECHOKA KUSUBIRI MATOKEO? 🌸Je, wewe au mwenzi wako mmekuwa mkijaribu kupata mtoto bila mafanikio? Au unasumbuliwa na ...
07/08/2026

🌸 UMECHOKA KUSUBIRI MATOKEO? 🌸

Je, wewe au mwenzi wako mmekuwa mkijaribu kupata mtoto bila mafanikio? Au unasumbuliwa na matatizo ya afya ya uzazi?

Huduma za kitaalamu zinapatikana katika Kliniki yetu ya Airport - Majumna sita Dar es Salaam.

Tunatoa huduma za: βœ… Uchunguzi wa afya ya uzazi kwa wanawake na wanaume
βœ… Vipimo vya kisasa vya uzazi
βœ… Ushauri wa kitaalamu
βœ… Huduma kwa wenye hedhi zisizo za kawaida, PID, maumivu ya tumbo la uzazi na changamoto nyingine za uzazi.

πŸ“ Huduma hii ni kwa watu walio tayari kufika kliniki kwa uchunguzi na matibabu.

πŸ“² Bonyeza "Tuma Ujumbe" sasa ili kupanga miadi yako.

Afya yako ni muhimu. Chukua hatua leo kwa uchunguzi wa mapema. 🌿

🌸 UMECHOKA KUSUBIRI UJAUZITO? USIKATE TAMAA! 🌸Je, wewe au mwenzi wako mnakabiliwa na changamoto za uzazi? Huna haja ya k...
06/08/2026

🌸 UMECHOKA KUSUBIRI UJAUZITO? USIKATE TAMAA! 🌸

Je, wewe au mwenzi wako mnakabiliwa na changamoto za uzazi? Huna haja ya kuendelea kubahatisha au kutumia tiba bila kujua chanzo cha tatizo.

βœ… Pata ushauri wa kitaalamu
βœ… Fanya vipimo sahihi vya uzazi
βœ… Pata matibabu yanayolenga chanzo halisi cha tatizo

Tunahudumia: 🌿 Wanawake na wanaume 🌿 Ugumba 🌿 Hedhi zisizo za kawaida 🌿 PID na maambukizi ya mfumo wa uzazi 🌿 Kupungua kwa nguvu za kiume 🌿 Changamoto nyingine za afya ya uzazi

πŸ’š Hatua ya kwanza ya kupata suluhisho ni kufanya uchunguzi sahihi.

πŸ“ž Wasiliana nasi leo: +255 755 788 085

Afya ya uzazi ni msingi wa familia yenye furaha. Usisubiri tatizo liwe kubwaβ€”anza safari yako ya kupata suluhisho leo! 🌿✨
https://www.whatsapp.com/business/

JE, MSHAHARA WAKO UNAISHIA NJIANI? 🚨❌ Mshahara hautoshi mpaka mwisho wa mwezi? ❌ Madeni yanaongezeka kila siku? ❌ Unafan...
11/06/2026

JE, MSHAHARA WAKO UNAISHIA NJIANI? 🚨
❌ Mshahara hautoshi mpaka mwisho wa mwezi? ❌ Madeni yanaongezeka kila siku? ❌ Unafanya kazi kwa bidii lakini maisha hayabadiliki? ❌ Una ndoto nyingi lakini kipato kimoja hakitoshi?
K**a umejiona kwenye mojawapo ya haya, basi muda umefika wa kutafuta chanzo kingine cha mapato!
βœ… Jifunze namna ya kujenga biashara ya ziada ukiendelea na kazi yako. βœ… Pata maarifa ya kuongeza kipato bila kuacha ajira yako. βœ… Kutana na watu wenye maono ya mafanikio na uhuru wa kifedha.
Usikubali maisha yako yaamuliwe na mshahara pekee.
πŸ“…Natoa Mafunzo Kuondokana na hiyo hali yako bure kabisa .
Mafunzo yatafanyika: Kesho πŸ•— Muda: Saa 2:00 Usiku
Andika "NIPO TAYARI" au nitumie ujumbe binafsi ili upate link ya kujiunga.

Mabadiliko ya maisha yako yanaweza kuanza kwa uamuzi mmoja tu leo!

πŸ”¬ VIPIMO KAMILI VYA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA – Tsh 30,000 TU!Je, unataka kujua hali ya afya yako mapema kabla ugonjwa hau...
06/06/2026

πŸ”¬ VIPIMO KAMILI VYA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA – Tsh 30,000 TU!

Je, unataka kujua hali ya afya yako mapema kabla ugonjwa haujawa mkubwa?

Tunatoa vipimo vya:
❀️ Moyo
🩺 Figo
πŸ«€ Ini
🍽️ Vidonda vya Tumbo
πŸ‘¨ Afya ya Uzazi kwa Wanaume
πŸ‘© Afya ya Uzazi kwa Wanawake

βœ… Matokeo ya haraka
βœ… Huduma bora na ushauri wa kitaalamu
βœ… Vipimo sahihi vya mwili mzima

πŸ’° Bei: Tsh 30,000 tu

πŸ“ž Wasiliana nasi:
0755 788 085
0783 903 104

πŸ“ Tunahudumia Tanzania nzima

Pima sasa, jua afya yako leo!
Afya yako ni uwekezaji bora kuliko vitu vyote.

02/06/2026
29/05/2026

😫 Unasumbuliwa na VIDONDA VYA TUMBO?

Je unapata:
❌ Maumivu makali ya tumbo
❌ Kiungulia mara kwa mara
❌ Gesi nyingi tumboni
❌ Kichefuchefu
❌ Kukosa hamu ya kula
❌ Tumbo kujaa au kuwaka moto

Usipuuze dalili hizi!
Vidonda vya tumbo vinaweza kuathiri afya yako na maisha yako ya kila siku.

🌿 Suluhisho lipo kwa njia ya TIBA LISHE 🌿

Tunatumia virutubisho maalum vinavyosaidia:
βœ… Kutuliza mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
βœ… Kuboresha afya ya tumbo
βœ… Kupunguza maumivu na muwasho tumboni
βœ… Kusaidia mwili kujijenga upya kwa njia salama na kuongeza CD4

✨ Anza kujali afya yako leo kwa kutumia Tiba Lishe bora.

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa:
Madam Eliza
0755788085

21/05/2026

✨ EMS Foot Massage ya Eternal International ✨
Chukua muda wa kupumzisha mwili wako na kurejesha nguvu zako kwa njia rahisi na ya kisasa πŸ’†β€β™€οΈπŸ’†β€β™‚οΈ

βœ… Husaidia kupunguza uchovu wa miguu
βœ… Huchangamsha mzunguko wa damu mwilini
βœ… Husaidia kupunguza maumivu ya miguu na nyayo
βœ… Hutoa hisia ya utulivu na relaxation
βœ… Husaidia kupunguza stress na kuchoka baada ya kazi
βœ… Rahisi kutumia ukiwa nyumbani au ofisini

Miguu yenye afya ni mwanzo wa mwili wenye nguvu πŸ’―

πŸ“ž Wasiliana na Madam Eliza:
0755788085

Address

Majumba Sita
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gcat International Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share