31/10/2026
NA K**A MZUNGUKO WAKO UNABADILIKA-BADILIKA?
Hapa ndipo wanawake wengi wanapokosea! K**a mwezi huu una mzunguko wa siku 26, mwezi unaofuata 31,
.. halafu mwingine 29, huwezi kutumia hesabu ya mwezi mmoja kutabiri siku zako za hatari kwa uhakika.
Fanya hivi ili usijilipue:
1️⃣ Rekodi tarehe ya kuanza period kwa angalau miezi 6.
2️⃣ Tambua mzunguko wako mfupi zaidi na mrefu zaidi.
3️⃣ Toa 18 kwenye mzunguko mfupi kupata siku ya kwanza ya dirisha la uzazi.
4️⃣ Toa 11 kwenye mzunguko mrefu kupata siku ya mwisho ya dirisha la uzazi.
📌 MFANO HALISI:
K**a mzunguko wako mfupi ni siku 25 na mrefu ni 34:
25 - 18 = Siku ya 7
34 - 11 = Siku ya 23 Hivyo, unapaswa kuzingatia Siku ya 7 hadi 23 k**a kipindi ambacho uwezekano wa mimba upo juu sana!
K**a mizunguko yako inabadilika sana, hesabu hizi zinaweza kupiga chenga.
Fuatilia pia ute wa mlango wa kizazi (cervical mucus)—wakati wa rutuba unakuwa mwingi, mwepesi, wa kuteleza na kuvutika k**a yai bichi. Unaweza pia kutumia Ovulation Test Kit.
💡 USHAURI WANGU KWAKO:
K**a Unatafuta Mimba: Fanya tendo la ndoa kila baada ya siku 1–2 ndani ya dirisha la uzazi.
K**a mzunguko haueleweki, fanya kila baada ya siku 2–3 katika mzunguko mzima ili usikose!
K**a Hutaki Mimba: Usitumie hesabu hizi peke yake; ovulation inaweza kubadilika ghafla hata kwa mwenye mzunguko wa kawaida.
Tumia njia ya uhakika ya uzazi wa mpango.
Na La Kuzingatia ni Kwamba, Kujua mzunguko wako ni Hatua ya Kwanza. Lakini k**a unasumbuliwa na UTI sugu au PID zinazovuruga kabisa mfumo wako wa uzazi:
Dozi yetu maalum ya UZAZIRESTORE VAGINAL THERAPY (Tshs 260,000/=) ipo kwa ajili ya kusafisha na kuweka mfumo wako sawa kuanzia kwenye chanzo chake.
Tuma neno UZAZI Wasap:+255(0789699225) moja kwa moja tuzungumze kinamna na nikupe mwongozo — Dr. Sam Makata
NIKUULIZE SWALI:
Mzunguko wako huwa na siku ngapi?
Sasa umeanza kuelewa siku zako za hatari, au bado hesabu zinakuchanganya?
Na k**a mzunguko wako haueleweki kabisa,
andika neno HAUELEWEKI hapa chini tuone! 👇