MGODI WA AFYA

MGODI WA AFYA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MGODI WA AFYA, Health & Wellness Website, Wakatibado Street, Dar es Salaam.

+PAGE II NI MAALUMU KWA WATU WA AINA ZOTE WANAOSUMBULIWA NA SHIDA MBALIMBALI ZA KIAFYA HASA ZILE ZILIZO KOSA UFUMBUZI MAHOSPITALINI SHIDA ZA UZAZI KAMA UGUMBA,PID,UTI NA MAGONJWA YOTE,KUTOA ELIMU YA AFYA NA NAMNA YA KULA,SHEA KWA JAMAA ZAKO NA WENGINE

26/10/2026

UNACHELEWA KUPATA UJAUZITO? HIVI NDIO VIPIMO MUHIMU VYA UZAZI KWA WANANDOA

Habari za leo! 👋
Leo tujifunze vipimo muhimu kwa wanandoa wanaojaribu kupata ujauzito bila mafanikio.

✍️ 01. Uchunguzi Wa Ovulation
Kipimo cha Progesterone takribani siku 7 kabla ya hedhi inayotarajiwa na kipimo cha LH vinaweza kusaidia kutathmini ovulation.

✍️ 02. Akiba Ya Mayai (Ovarian Reserve)
Vipimo vya AMH, FSH na ultrasound husaidia kutathmini akiba ya mayai. Kumbuka, akiba ya mayai si sawa na uwezo wa kupata mimba.

✍️ 03. Uchunguzi Wa Mirija Ya Uzazi
Kipimo cha HSG huchunguza k**a mirija iko wazi. Ultrasound inaweza kusaidia kubaini fibroids na matatizo mengine ya kizazi na ovari.

✍️ 04. Uchunguzi Wa Mbegu Za Kiume
Semen Analysis hutathmini idadi, mwendo na umbo la mbegu za kiume.

✍️ 05. Vipimo Vingine
Kulingana na historia ya afya, daktari anaweza kupendekeza vipimo vya TSH, prolactin au uchunguzi wa endometriosis.

KUMBUKA:
✍️ Jaribuni kupata ujauzito kwa miezi 12 bila mafanikio? Tafuteni uchunguzi wa uzazi.

✍️ Mwanamke mwenye miaka 35 au zaidi anashauriwa kuchunguzwa baada ya miezi 6. Zaidi ya miaka 40 au akiwa na vihatarishi, atafute ushauri mapema.

✍️ Wote wawili mfanyiwe uchunguzi. Changamoto inaweza kuwa kwa mwanamke, mwanaume au wote wawili.

UCHUNGUZI WA UZAZI NI JUKUMU LA WANANDOA WOTE!

SWALI KWAKO:
Je, wewe na mwenza wako mmewahi kufanya uchunguzi wa uzazi? Ni kipimo gani mlifanya mara ya mwisho?

SHARE, LIKE, COMMENT NA FOLLOW!

Zingatia Mambo Haya K**a Hutaki Kupata Fibroids..1. ☑️.Kula Lishe Bora Yenye Nyuzinyuzi – Ongeza mboga za majani, matund...
26/10/2026

Zingatia Mambo Haya K**a Hutaki Kupata Fibroids..

1. ☑️.Kula Lishe Bora Yenye Nyuzinyuzi – Ongeza mboga za majani, matunda na nafaka zisizokobolewa…⁠

2. ⁠☑️. Dumisha Uzito Sahihi Wa Mwili – Fanya mazoezi mara kwa mara na zingatia lishe bora.

3. ⁠☑️. Epuka Vyakula Vya Junk Na Sukari Nyingi – Punguza vyakula vilivyosindikwa sana na vinywaji vyenye sukari nyingi.

4. ⁠☑️. Tumia Vyakula Vya Asili Vyenye Virutubisho – Kula mboga, matunda, jamii ya kunde na vyakula vyenye virutubisho mbalimbali.

5. ⁠☑️. Punguza Msongo Wa Mawazo – Pata usingizi wa kutosha na tumia njia salama za kupumzika.

6. ⁠☑️. Epuka Pombe – Punguza au acha matumizi ya pombe kwa manufaa ya afya yako kwa ujumla.

7. ⁠☑️. Epuka Uvutaji Wa Sigara – Uvutaji sigara una madhara mengi kwa afya ya mwili.

8. ⁠☑️. Dhibiti Shinikizo La Damu – Pima shinikizo la damu mara kwa mara na fuata ushauri wa mtaalamu wa afya.

9. ⁠☑️. Dumisha Usawa Wa Homoni – Fuatilia afya yako ya uzazi na pata ushauri wa daktari unapohitaji.

10. ⁠☑️. Jumuisha Vyakula K**a Beetroot – Beetroot ina virutubisho vinavyosaidia afya ya mwili kwa ujumla, ingawa haijathibitishwa kuzuia au kutibu fibroids.

ZINGATIA;Kusevu Namba Hii 0718639776 Na Tunapatikana Wasap Na Kawaida Na Utapata Unacho Kitafuta

Pia Follow,Share,Like Na Comment..

26/10/2026

UNAKUMBUKA TUKIO GANI KATIKA UKUAJI WA MTOTO WAKO WA KIUME??
Maana Hawa Watoto Siku Zote Wanatakaga Kua Head Of Department

24/10/2026

Usihukumu Kitabu Kwa Kuangalia Kava Lake….Huenda Jamhuri Hii Inayo Onekana Haina Muungano Ikawa Na Muungano✍️😁
Kwa Changamoto Za Uzazi Na Afya Namba Zetu Ni 0718639776 Kwa Watsap Na Kawaida

23/10/2026

JINSI YA KUPATA MAPACHA KWA NJIA YA ASILI…

Kuwa Mama Ni Moja Kati Ya Hisia Ya Kipekee Sana Kwa Mwanamke,Japo Ili Kufanikisha Ili Kuna Kuja Na Mambo Mengi Na Mengine Huweza Kukuchosha Na Ata Kukufanya Unyong’onyee

KUNA AINA MBILI ZA MAPACHA

✍️a).Mapacha Ya Kufanana:Hutokea Pale Ambapo Yai Moja Lililorutubishwa Na Mbegu Moja Linapogawanyika Mara Mbili Au Zaidi..Mapacha Awa Huwa Wanafana Kwa Kila Kitu Adi Jinsia Kwakua Wametokana Na Chromosome Moja

✍️b).Mapacha Wasiofana;Hawa Wanatokea Pale Ambapo Mayai Mawili Yaliyorutubishwa Na Mbegu Mbili Tofauti Kukua Kwa Wakati Mmoja,Mapacha Hawa Huwa Hawashei Chochote Kila Na Wanaweza Kua Wa Jinsia Tofauti Kabisa

JINSI YA KUPATA MAPACH..

Zipo Factors Au Vitu Vinavyoongeza Nafasi Ya Mwanamke Kupata Mapacha Na Wewe K**a Wataka Mapacha Basi Ni Muhimu Kuzingatia Baadhi Ya Mambo Aya…

☑️a).Vinasaba;Wanandoa Ambao Familia Zao Zinamapacha Wananafasi Kubwa Ya Kupata Mapacha, Hasa Ule Upande Wa Mama/Mwanamke..

☑️b).Umri;Wanawake Wenye 30+ Wako Na Nafasi Kubwa Ya Mapacha Kwa Sababu Ya Kuongezeka Homoni Ya FSH,Mabadiliko Ya Homoni Huweza Kuzalisha Mayai Zaidi…

☑️c).Wanajibust Na Bidhaa Za Maziwa;Bidhaa za Maziwa Hasa Maziwa Ya Ng’ombe Ambao Wana Growth Hormones Wana Nafasi Kubwa…

☑️d).Kutumia Folate au Vitamin B9;Kupitia Suppliments Na Vyakula K**a Legumes Na Leafy Greens 🥬

☑️e).Weka Uzito Sawa;Watu Wenye Uzito Mzuri Wana Nafasi Kubwa Kuliko Vibonge..

☑️f).Asili Yako;Watu Weusi Mna Nafasi Kubwa Ya Kupata Mapacha Kuliko Wengine

☑️g).Kupenda Sana Twin;K**a Unawapenda Sanaaa Unaweza Kuvutia Kuwapata…

☑️h).Weka Zingine Sababu…

MUHIMU;K**a Unachangamoto Ya Uzazi Ni Lazima Kuitibia Iyo Changamoto Kabla Ya Kufanya Maamuzi Mengine Zaidi Na Ndio Maana Tunakupa Namba Yetu 0718639776 Wasap Na Kawaida Ili Ututafute Kwa Maelekezo Mengine Zaidi

Share,Like,Comment Na Utu-Follow

23/10/2026

How To Have A Kid In Lesa Than 6 Month?☺️ Is It Real Or Ai

22/10/2026

TUMIA JUICE HII K**A UNACHANGAMOTO YA VIMBE

Viambata
☑️ Andaa Beetroot Mbili(2)

☑️Apple/Tofaa Moja(1)

☑️Karoti Moja Ya Saizi Ya Kati(1)

☑️Kipande Kimoja Cha Tangawizi(1) Saizi Ya Kidole Gumba

☑️Kipande Kimoja Cha Manjano(1) Saizi Ya Kidole Gunda

Menya Osha Vizuri Na Usage Katika Blenda,Kisha Tumia Kila Siku Asubuhi Na Jioni

K**a Radha Nishida Weka Kijko Kimoja Kidogo Cha Asali Mbichi

MUHIMU:K**a Hujaelewa Namna Ya Kuandaa Na Unachagamoto Ya Vimbe Namba Zetu Ni 0718639776 Kwa Watsap Na Kawaida.

Like,Follow,Share Kwa Wengine

21/10/2026

Kazi 5 Kuu Za Ute Wa Ovulation

1. ☑️Kusaidia Mbegu Za Kiume Kuogelea: Huweka mazingira yanayorahisisha mbegu za kiume kusafiri kulifikia yai.

2.☑️Kulinda Mbegu Za Kiume: Husaidia baadhi ya mbegu kuishi kwa muda mrefu ndani ya mfumo wa uzazi wa mwanamke.

3. ☑️Kuongeza Uwezekano Wa Kupata Mimba: Husaidia mbegu kufika kwenye yai wakati wa siku za rutuba.

3.☑️Kuonyesha Siku Za Rutuba: Ute unapokuwa mwingi, wa uwazi na unaovutika k**a yai bichi, mara nyingi huashiria kuwa ovulation inakaribia.

4.☑️Kusaidia Mazingira Ya Uzazi: Hutoa mazingira yanayofaa kwa mbegu za kiume kupita kwenye mlango wa kizazi.

ZINGATIA;Ute Ni Moja Kati Ya Vitu Vya Msingi Kwa Mwanamke Anayetafuta Ujauzito Na Ni Kiashiria Cha Kimoja Kwamba Mwanamke Anaweza Kushika Ujauzito..

K**a Kuna Changamoto Za Uzazi Na Ungependa Maelezo Zaidi Tumia 0718639776 Watsap Na Kawaida Na Utatupata

Follow,Like,Comment And Share
#

21/10/2026

UWEZO WA MWANAMKE KUPATA MIMBA
(Female Fertility Timeline)…

UMRI WA MIAKA 18–24;Uwezo wa kupata mimba kwa kawaida huwa katika kiwango cha juu. Uwezekano wa kushika mimba huwa mzuri kwa wanawake wengi.

UMRI WA MIAKA 25–30;Uwezo wa kupata mimba kwa kawaida hubaki kuwa mzuri na thabiti, ingawa hutofautiana kati ya mwanamke mmoja na mwingine.

UMRI WA MIAKA 31-35;Uwezekano wa kupata mimba bado ni mzuri kwa wanawake wengi, lakini uwezo wa uzazi huanza kupungua taratibu.

UMRI WA MIAKA 36–40;Uwezo wa kupata mimba hupungua kwa kasi zaidi. Pia, hatari ya hitilafu za kromosomu kwenye mayai na kuharibika kwa mimba huongezeka kadiri umri unavyoongezeka.

UMRI WA MIAKA 41–45+
Uwezekano wa kupata mimba kwa njia ya kawaida huwa mdogo zaidi, na hatari ya kuharibika kwa mimba huongezeka. Hata hivyo, baadhi ya wanawake bado wanaweza kupata mimba.

MWANAMKE;Ni Muhimu Kutambua Kwamba Umri Ni Moja Ya Vigezo Vinavyopunguza Nafasi Ya Mwanamke Kupata Mimba Ila Zingatia Kwamba K**a Utapata Dozi Sahihi Na Usimamizi Mzuri Unakua Na Nafasi Nzuri Ya Wewe Kushika Ujauzito.

Chukua Namba Zetu 0718639776 Kwa Watsap Na Kwa Text Za Kawaida Au Call Tunapatikana.

TAHADHARI KWA KILA MJAMZITO MWENYE UVIMBE KATIKA KIZAZIUvimbe Katika Kizazi Ni Moja Ya Changamoto Za Wanawake Wengi Wana...
20/10/2026

TAHADHARI KWA KILA MJAMZITO MWENYE UVIMBE KATIKA KIZAZI

Uvimbe Katika Kizazi Ni Moja Ya Changamoto Za Wanawake Wengi Wanaotafuta Kuzaa,Ata Ivyo Wapo Wanawake Ambao Wanashika Ujauzito Wakiwa Na Vimbe…

IZI NZITO HATARI ZINAZOHUSISHWA NA KUWA NA VIMBE WAKATI WA UJAZITO…
☑️1).Kuvuja Damu Kusiko Kwa Kawaida;Uwepo Wa Vimbe Katika Kizazi Unaweza Kupelekea Mjamzito Kupata Changamoto Ya Bleeding…

☑️2).Maumivu;Uvimbe Unaweza Kupelekea Maumivu Ya Tumbo,Mgongo,Nyonga,Makalio,Miguu Na Maeneo Mengine…

☑️3).Kuharibika Kwa Mimba;Vimbe Za Ndani Ya Kizazi Na Katikati Ya Kizazi Huweza Kuleta Miscarriage…

☑️4).Kondo La Nyuma Kuziba Mlango Wa Uzazi;Hali Hii Huweza Kuwa Hatari Kwa Uzazi Kitalamu Inaitwa Placenta Previa

☑️5).Kondo La Nyuma Kujitenda Kutoka Uterus(Placenta Abruption); Hii Huweza Kuwa Hatari Kwa Mama Na Mtoto

☑️6).Mtoto Kuzaliwa Kabla Ya Wakati(Early Delivery);Huweza Kutokea Kwa Sababu Ya Uwepo Wa Vimbe Nyingi Tumboni

☑️7).Kujifungua Kwa Upasuaji(Cesarean Section);Vimbe Huweza Kupelekea Uchungu Wa Mda Mrefu(Dystocia) Na Protracted Labor

☑️8).Kupoteza Damu Nyingi Mda Wa Kujifungua(Postpartum Hemorrhage);Kupoteza Damu Nyingi Sana Baada Ya Kujifungua Na Hii Ni Hatari Pia

☑️9).Kondo La Uzazi Kubaki Ndani(Placenta Retention);Hii Hutokea Pale Ikiwa Kondo Halitatoka Nje Nusu Saa Baada Ya Kujifungua Kawaida.

☑️10).Mtoto Kushindwa Kugeuka(Breech Birth);Kuzaliwa Ametanguliza Miguu Inaweza Kutokea…

ZINGATIA;K**a Uko Na Vimbe Na Umebahatika Kuwa Mjamzito Ni Muhimu Kufuata Maelekezo Ya Hospital Yako Na Pia Ni Vema Uwe Unatumia Vitu Vitakavyo Kusaidia Kuimarisha Mimba Na Mfumo Wa Uzazi Kwa Maelezo Zaidi Tucheki Kwa Namba 0718639776 Wasap/Kawaida….Kumbuka Uvimbe Sio Mwisho Wa Uzazi

Like,Share,Comment And Follow

Address

Wakatibado Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 19:00
Tuesday 09:00 - 19:00
Wednesday 09:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 19:00
Friday 09:00 - 19:00
Saturday 09:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MGODI WA AFYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share