Tuongee Afya

Call

Tuongee Afya NUTRITIONIST
✅UZAZI ME&KE
✅VIDONDA VYA TUMBO
✅ Ovarian cyst & Uvimbe
✅PID, U.T.I&FANGAS
✅UZITO
✅ AFYA YA WATOTO
MATOKEO BORA Whatsapp 0750933014

28/08/2026

Haya mama K nakuita huku..🔥🔥🔥🔥mambo ni motooo sanaaa

27/08/2026

Weka Hofu Pembeni Kabisa, Mungu ni Wetu Sote, akukumbuke Nawe pia Mama, Zamu yako inakuja SOON🙏..

27/08/2026

Fanya detox mara kwa mara ili kuepuka magonjwa

MAKOSA 3 YA WATU WANAOTUMIA SUPPLEMENTS Unatumia supplements lakini huoni matokeo unayotarajia? Inawezekana kuna baadhi ...
20/08/2026

MAKOSA 3 YA WATU WANAOTUMIA SUPPLEMENTS
Unatumia supplements lakini huoni matokeo unayotarajia? Inawezekana kuna baadhi ya makosa unayafanya bila kujua.
1. Kutokuwa na uvumilivu
Supplements siyo “magic pill.” Matokeo yanaweza kuhitaji muda, matumizi sahihi na consistency.
2. Kutumia bila mfumo sahihi
Kuchukua supplement bila kuelewa matumizi yake, kiasi kinachofaa au bila ushauri sahihi kunaweza kukufanya usipate manufaa unayotarajia.
3. Kutarajia supplements zifanye kila kitu
Lishe bora, maji ya kutosha, usingizi, mazoezi na lifestyle nzuri bado ni muhimu.
✨ Tumia supplements kwa uelewa, si kwa mazoea.
K**a unataka kujua supplement gani inaweza kuendana na lengo lako na namna sahihi ya kuitumia, niandikie “NATAKA KUJUA” 📩
Tanzania

Umepima na umeambiwa mirija imeziba?Suluhisho lipoKila Mwanamke ni Mama... Jipatie package Yako leo
14/05/2026

Umepima na umeambiwa mirija imeziba?

Suluhisho lipo

Kila Mwanamke ni Mama... Jipatie package Yako leo

🩺 UKE MKAVU – SABABU NA NAMNA YA KUKABILIANA NAYO Uke mkavu ni hali ambapo uke hukosa unyevu wa kutosha, hali inayoweza ...
06/05/2026

🩺 UKE MKAVU – SABABU NA NAMNA YA KUKABILIANA NAYO

Uke mkavu ni hali ambapo uke hukosa unyevu wa kutosha, hali inayoweza kuleta maumivu wakati wa tendo la ndoa, kuwashwa, muwasho au hata maambukizi ya mara kwa mara. Hii ni changamoto inayowapata wanawake wa rika mbalimbali si wazee tu!

Sababu za uke kuwa mkavu:
1. Kupungua kwa homoni ya estrogen – hasa kwa wanawake waliokoma hedhi, waliojifungua au wanaonyonyesha.

2. Dawa fulani – k**a dawa za allergy, za presha, za kuzuia depression au kemikali za tiba ya saratani.
3. Msongo wa mawazo na wasiwasi huathiri mfumo wa uzazi na kusababisha kukosa hamasa.

4. Kutumia sabuni kali au kuosha uke kwa ndani (douching) huua bakteria wazuri na kuharibu usawa wa asili wa uke.

5. Uvutaji sigara hupunguza mzunguko wa damu kwenye uke.

Unachoweza kufanya:
✅ Epuka kuosha uke kwa ndani
✅ Pata tiba ya ushauri wa daktari ikiwa tatizo linaendelea
✅ Jali afya ya mwili kwa kula vizuri, kunywa maji ya kutosha na kufanya mazoezi

Tuna Virutubisho Kwa ajili ya kumaliza tatizo Hilo
Call/Whatsapp 0750933014

*Mwanamke hii nayo ni kitu ya kukosa?*Ukavu ndo sababu kubwa ya kutokufurahia tendo la ndoaUkiagiza dawa leo unaanza kup...
24/04/2026

*Mwanamke hii nayo ni kitu ya kukosa?*

Ukavu ndo sababu kubwa ya kutokufurahia tendo la ndoa

Ukiagiza dawa leo unaanza kupata ute kesho

*Faida za huo ute*

👉Ulinzi wa asili wa uke wako

👉Ladha raha na utamu wa tendo

👉Mimba inashima kwa haraka

👉 ukiwa na ute usio na rangi huwezi kupata uchafu mweupe

👉Huwezi kupata michubuko kwa babi

👉Mr Nae Lazima ataenjoy mtelezo

👉Ukiwa na ute mzuri huwezi kupaya harufu mbaya

👉K**a una uti pia inaondoa

Dawa yenye matokeo ya haraka inapatikana kwangu
piga au watsap👉 0750933014

22/04/2026

Hatimaye.....Tears of joy
K**a ujawahi kupitia kwenye hii situation huwezi kuelewa
Sio rahisi ila Mungu ndo anayeweza kukuvukisha
Miaka 5, 6,7,8 9 10, 11, 12, 15 hujapata mtoto....umeshahangaika adi umesema basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Umeshakunywa Dawa za kila aina
Umeshaguswa na madaktari mpaka basiii
Umesemwa Mno na kuachika juuu kisa mtoto……
Umeshalia mwenyewe sanaaaaaa
Umeshaomba sanaaaaaaaa
Umeshakunywa dawa za kienyeji sana
Umeshazunguka sanaaaaaaa adi unawaza wengine wanafanikiwaje?
Unajiuliza kwani Mungu akuoni?
Umekata tamaaaa mnoooooo
Hutamani hata kusikia izo habari…..
Nikwambie yuko Mungu anaweza kusaidia watu just jaribu kwa Mara ya Mwishoooooooo njooo tuongeeee
Hata uyo dada alikua K**a wewe Leo analia na furaha yake ameipakata
Njoooo dear wewe unazaaaa

Call/Whatsapp 0750933014

22/04/2026

FAIDA KWA KILA CHANGAMOTO YA UZAZI WA MWANAMKE
Virutubisho vya nguvu vinavyosaidia kutibu chanzo cha matatizo ya uzazi kwa njia ya asili.

🔹 1. PID (Pelvic Inflammatory Disease)
✅ Husaidia kupunguza uvimbe na maambukizi ndani ya kizazi
✅ Huweka mazingira safi ya uzazi kwa ujauzito salama

🔹 2. HOMONI KUTOKUSAWAZIKA (Hormonal Imbalance)
✅ Husawazisha homoni k**a Estrogen na Progesterone
✅ Hurekebisha mzunguko wa hedhi na kuboresha mood

🔹 3. MIRIJA KUZIBA
✅ Husaidia kusafisha uchafu na sumu zinazoziba mirija
✅ Huongeza mzunguko wa damu kwenye mirija ya uzazi

🔹 4. MATATIZO YA HEDHI
✅ Hurekebisha hedhi zisizoeleweka, nyingi au chache
✅ Hupunguza maumivu ya hedhi na kurudisha hedhi iliyopotea

🔹 5. UKAVU UKENI
✅ Hurejesha unyevu wa uke kwa njia ya asili
✅ Huongeza hamu ya tendo la ndoa

🔹 6. MAAMBUKIZI YA FANGASI
✅ Hupambana na fangasi sugu (yeast infections)
✅ Huweka uwiano sahihi wa bakteria wazuri na wabaya ukeni

🔹 7. VAGINOSIS NA CHLAMYDIA
✅ Husaidia kutibu maambukizi ya bakteria ukeni
✅ Hurejesha hali ya kawaida ya uke na kuondoa harufu mbaya

🔹 8. KIZAZI KULEGEA
✅ Husaidia kuimarisha misuli ya uzazi
✅ Hurejesha nguvu ya uke na kizazi

🔹 9. KUTOPEVUSHA MAYAI
✅ Huchochea ukuaji na upevushaji wa mayai
✅ Huongeza nafasi ya kupata ujauzito

🔹 10. PCOS (Polycystic Ovarian Syndrome)
✅ Husafisha ovari na kuondoa uvimbe
✅ Husawazisha homoni zinazoharibu mzunguko wa hedhi

🔹 11. MIMBA KUHARIBIKA MARA KWA MARA
✅ Huimarisha mazingira ya mimba kushika na kukua salama
✅ Huongeza progesterone kwa ujauzito wenye nguvu

🔹 12. ENDOMETRIOSIS
✅ Hupunguza uvimbe ndani ya mfuko wa uzazi
✅ Husaidia kudhibiti maumivu makali ya tumbo

🔹 13. SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI
✅ Ina antioxidants zinazosaidia kupambana na seli hatari
✅ Husaidia kulinda seli za shingo ya kizazi dhidi ya mabadiliko

🔹 14. OVARIAN CYSTS
✅ Husaidia kuyeyusha cysts polepole kwa njia ya asili
✅ Huongeza afya ya ovari na uzalishaji wa mayai bora

K**a Unapitia Changamoto yoyote kati ya hizi Wasiliana nasi Kwa usaidizi wa karibu

Call/Whatsapp 0750933014

17/04/2026

Changamoto nyingi za Afya huanza kwenye vyakula tunavyokula.... Tukiweza kubadilisha ulaji wetu magonjwa yatapungua sanaaaa

Tunavyo Virutubisho ambavyo vinaziba gape la kile tunachokosa kwenye vyakula vyetu.

Njoo uniambie unahitaji kutatua Changamoto Gani?

Call/Whatsapp 0750933013

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255788138816

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tuongee Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share