Afya Bora

Website

Afya Bora Karibu kwenye ukurasa huu kupata suluhisho la magonjwa yasioambukizwa

03/10/2026

Sciatica Pain ni maumivu yanayotokana na msukumo au kubanwa kwa sciatica nerve, nerve inayotoka sehemu ya chini ya mgongo, ambayo inapita kwenye nyonga/makalio na kushuka hadi kwenye mguu.

Dalili za tatizo hili mara nyingi ni:

1. Maumivu ya kuchoma au k**a umeme kutoka mgongoni/makalioni hadi mguuni

2. Maumivu mara nyingi huwa upande mmoja

3. Ganzi au kuchomachoma kwenye mguu

4. Udhaifu wa mguu au nyayo

5. Maumivu zaidi yanaweza kuongezeka ukikaa muda mrefu, kukohoa au kupiga chafya.

K**a unahisi maumivu ya namna hii tuwasiliane hapa kwa suluhisho 0758964090

21/09/2026

Tatizo la uzazi halianzi kwenye kutafuta dawa tu—linahitaji kujua CHANZO chake.

PID, mvurugiko wa homoni, matatizo ya mirija ya uzazi na changamoto nyingine zinaweza kuhusishwa na ugumu wa kupata ujauzito.

⚠️ Usikimbilie kutibu dalili bila kujua chanzo. Uchunguzi sahihi husaidia kutambua tatizo na hatua sahihi za kuchukua.

🩺 Jua chanzo cha changamoto yako ya uzazi na pata suluhisho linalofaa.

📲 WhatsApp/Simu: 0758 964 090

15/06/2026

Kamwe Usitafute Tiba Za Changamoto Za Uzazi Pasipo Uangalifu!

Changamoto Za Uzazi Kwa Wanawake Huja Na Matokeo Ya Kufanana Lakini Vyanzo Na Visababishi Vyake Hutofautiana Sana.

Ili Kutibu Changamoto Za Uzazi Kwa Uhakika Zaidi Shiriki Kwanza Vipimo Vya Mfumo Mzima Wa Uzazi Vitakavyokusaidia Sana Kufahamu Yafuatayo;

✅️ Kujua Tatizo Zaidi Ni Lipi (Wengi Hawafahamu Changamoto Walizonazo Wanaziotea Tu Kwa Kuangalia Dalili Peke Yake)

✅️ Kufahamu Chanzo Cha Tatizo (Changamoto Za Uzazi Hazitibiwi Kwa Kutazama Matokeo Peke Yake! Vipimo Vitakupa Nafasi Ya Kufahamu Vyanzo Ni Vipi Na Ndio Msingi Wa Afya Njema Ya Uzazi)

✅️ Kufahamu Namna Tatizo Lilivyoathiri Uzazi Kwa Ndani

Vipimo Hivi Vya Uzazi Na Matibabu Ya Uzazi Yanapatikana Kwenye Vituo Vyetu Vya Afya Vilivyopo Kwenye Zaidi Ya Mikoa 20 Kwa Thamani Ya Tsh 30,000 (Elfu Thelathini Tu!)

Ndio Ni Kwa Tsh 30,000 (Elfu Thelathini Tu)

Wasiliana Nasi Hapa Kupata Vipimo Sahihi Vya Uzazi Na Matibabu Sahihi Zaidi

Dr Esther
0758 964 090

Address

Majumbasita
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share