Tannahqtanzania

Website

Tannahqtanzania We’re Tanzania’s official professional body for REGISTERED NURSES championing skilled, compassionate care for every individual, in every community

Usiku wa Heshima, Tabasamu na Fahari ya Uuguzi! 🌟🩺Tarehe 25/10/2026 ilikuwa siku ya kipekee sana Mkoani Iringa kwenye US...
28/10/2026

Usiku wa Heshima, Tabasamu na Fahari ya Uuguzi! 🌟🩺

Tarehe 25/10/2026 ilikuwa siku ya kipekee sana Mkoani Iringa kwenye USIKU WA HESHIMA WA WAUGUZI GALA DINNER. Mambo yalikuwa mazuri na ya kuvutia sana! 🎉

Tukio hili lilihudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa k**a Mgeni Rasmi, huku Viongozi wa TANNA Mkoa wakijumuika pamoja na Meza Kuu.

Pia, RNO wa Mkoa wa Iringa, Mr. Mosses Tawete, alipata nafasi ya kuzungumza na kushirikisha masuala muhimu ya kitaaluma na mwelekeo wa huduma za kiuguzi mkoani hapa. 📊✨

Picha zinaongea!

HABARI NJEMA KWA WAUGUZI WOTE TANZANIA! 🇹🇿🩺Leo Tarehe 15/10/2026, Viongozi wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) wakiong...
15/10/2026

HABARI NJEMA KWA WAUGUZI WOTE TANZANIA! 🇹🇿🩺
Leo Tarehe 15/10/2026, Viongozi wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) wakiongozwa na Rais wa TANNA, Mh. Ezekiel Mbao, Katibu Mwenezi Prosper Protas, pamoja na Mjumbe Mteule Peace Masasi, wamefanya kikao muhimu na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
📌 Agenda Kuu: Suala la Muundo wa Utumishi wa Kada ya Uuguzi.
Mh. Naibu Waziri amethibitisha kuwa Serikali inachukua suala hili kwa uzito mkubwa na litahitimishwa muda si mrefu. K**a hatua ya awali, Serikali imetoa kibali cha kuanzishwa kwa kozi za Stashahada ya Juu (Higher Diploma) ili kutoa fursa na motisha kwa Wauguzi wanaojiendeleza kimasomo! 🔥👏
Chama chenu kipo kazini kuhakikisha maslahi na muundo wa uuguzi unazidi kuimarika.

AfyaTanzania NursesOfTanzania

🎉 THANK YOU FOR JOINING US! 🇹🇿✨On behalf of TANNA, a huge thank you to all 136 live attendees (out of 203 registered nur...
14/10/2026

🎉 THANK YOU FOR JOINING US! 🇹🇿✨

On behalf of TANNA, a huge thank you to all 136 live attendees (out of 203 registered nurses) who joined tonight’s "Healthcare in the Digital Age" Virtual Webinar!

A special thanks to our speakers, Midwife Agness Ndunguru & Midwife Anitha Francis Mganga, for their insightful sessions on ethics, license protection, and global opportunities.

📢 STAY TUNED!

Our next webinar is coming soon. Keep your notifications ON so you don't miss out!

🌐 Website: www.tanna.or.tz

📲 Follow Us: Tanna HQ Tanzania

LEO NDIO SIKU YENYEWE! 🚀 Tukutane Saa 1:00 Usiku Google Meet!  Happy Nyerere Day! Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kin...
14/10/2026

LEO NDIO SIKU YENYEWE! 🚀 Tukutane Saa 1:00 Usiku Google Meet! 

Happy Nyerere Day! Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kinakualika kwenye TANNA Virtual Webinar inayofanyika LEO USIKU! 

Ungana na Mwenyeji wako James Joseph Ringo Joseph Ringo pamoja na Wazungumzaji wetu nguli Agnes Ndunguru ,Registered Midwife ,Pregnancy,waterbirth Africa na Anitha Francis Mganga wakifunguka waziwazi mbinu za kiutendaji zitakazobadilisha mtazamo na mwelekeo wa taaluma yako ya uuguzi kidijitali. 

📌 Mada Kuu: Social Media Usage for Nurses: Unlocking Opportunities, Benefits, and Career Advancement
🗓 Tarehe: LEO, 14 Oktoba 2026 (Nyerere Day)
⏰ Muda: Saa 1:00 Usiku – Saa 2:30 Usiku EAT
📍 Sehemu: Google Meet (Ni BURE kwa wote) 
🚨 Usijisikie vibaya kesho kuona wenzako wamepiga hatua wakati wewe ulikosa fursa hii! 

👉 Sajili nafasi yako SASA kabla ya darasa kuanza:
📲 https://forms.gle/y5msqLHSvYGD7R9K9 

NursingCareerGrowth

Heri ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere! 🇹🇿🕯️  Leo, Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kinajiunga na Wata...
14/10/2026

Heri ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere! 🇹🇿🕯️ 
Leo, Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kinajiunga na Watanzania wote kuadhimisha Siku ya Nyerere (14 Oktoba). Tunakumbuka na kuenzi maono, uongozi, na mchango uliotukuka wa Baba wa Taifa katika kujenga na kuimarisha Taifa la Tanzania. 

ONLY A DAY LEFT TO REGISTER! ⏰🔥   Kesho ndio siku yenyewe! Imebaki Siku 1 TU kuelekea TANNA Virtual Webinar.   K**a bado...
13/10/2026

ONLY A DAY LEFT TO REGISTER! ⏰🔥 Kesho ndio siku yenyewe! Imebaki Siku 1 TU kuelekea TANNA Virtual Webinar. K**a bado hujajisajili, huu ndio wakati wako wa mwisho kuchukua hatua. 📌 Mada Kuu: Social Media Usage for Nurses: Unlocking Opportunities, Benefits, and Career Advancement 🗓 Kesho, Jumatano 14 Oktoba 2026 ⏰ 7:00 PM – 8:30 PM EAT Tukutane Google Meet kesho usiku! 🚀👉 Jisajili Sasa: https://forms.gle/y5msqLHSvYGD7R9K9

Meet Your Host! 🎙️ Kua Sehemu ya Mabadiliko ya Kidijitali!   Katika TANNA Virtual Webinar, utakuwa na James Joseph Ringo...
12/10/2026

Meet Your Host! 🎙️ Kua Sehemu ya Mabadiliko ya Kidijitali! Katika TANNA Virtual Webinar, utakuwa na James Joseph Ringo atakayekuongoza katika mada yenye tija kubwa:

💡 "Social Media Usage for Nurses: Unlocking Opportunities, Benefits, and Career Advancement"

Jifunze jinsi ya kubadilisha akaunti zako za mitandao ya kijamii kuwa zana yenye nguvu ya kukuza taaluma yako!
🗓 Jumatano, 14 Oktoba 2026
⏰ Saa 1:00 Usiku – 2:30 Usiku EAT
📍 Google Meet

👉 Bonyeza link kujisajili BURE: https://forms.gle/y5msqLHSvYGD7R9K9

ONLY 2 DAYS LEFT TO REGISTER! 🚨⏳   Zimebaki siku 2 TU!   Jiandae kufungua ukurasa mpya wa taaluma yako kupitia mitandao ...
12/10/2026

ONLY 2 DAYS LEFT TO REGISTER! 🚨⏳ Zimebaki siku 2 TU! Jiandae kufungua ukurasa mpya wa taaluma yako kupitia mitandao ya kijamii. Tengeneza muda wako vizuri kwa ajili ya usiku wa tarehe 14 Oktoba. 💻 Mada: Social Media Usage for Nurses: Unlocking Opportunities, Benefits, and Career Advancement 🗓 Jumatano, 14 Oktoba 2026 ⏰ 7:00 PM – 8:30 PM EAT 👉 Usajili ni BURE lakini nafasi ni chache! Sajili hapa: https://forms.gle/y5msqLHSvYGD7R9K9

Usisimame hapo ulipo! Endelea kujifunza,tafuta mbinu mpya, na kukuza ujuzi wako wa kitaaluma kila siku. 📚🚀
11/10/2026

Usisimame hapo ulipo! Endelea kujifunza,tafuta mbinu mpya, na kukuza ujuzi wako wa kitaaluma kila siku. 📚🚀

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tannahqtanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share