AFYA kipaumbele CHETU

Call

AFYA kipaumbele CHETU "Afya ni Uwezo, Afya ni Uhuru"
� Tunasaidia watu kushinda magonjwa kwa njia salama na nafuu

TUNAZIBUA MIRija YA UZAZI! ❤️Unapata changamoto ya kushika mimba? Ungependa kufahamu hali ya mirija yako ya uzazi?🔎 Tuna...
11/10/2026

TUNAZIBUA MIRija YA UZAZI! ❤️
Unapata changamoto ya kushika mimba? Ungependa kufahamu hali ya mirija yako ya uzazi?

🔎 Tunazungumzia changamoto za mirija ya uzazi k**a: ✅ Mirija iliyoziba

✅ Ugumba na changamoto ya kupata mtoto
✅ Maumivu ya tumbo la chini
✅ Hedhi kubadilika
✅ Maumivu wakati wa tendo la ndoa
👩‍⚕️ Pata ushauri wa daktari na huduma za uchunguzi ili kufahamu chanzo cha changamoto yako.

🔥 OFa MAALUM: TSH 20,000 TU!
📲 Piga simu au WhatsApp: 0756652508

❤️ Ndoto yako ya kupata mtoto ianze kwa kufahamu afya yako ya uzazi!

Usisahau: Mirija iliyoziba huhitaji uchunguzi wa kitabibu ili kujua matibabu yanayofaa.

📢 TANGAZO LA VIPIMO VYA UZAZI KWA MWANAMKE!Unasumbuliwa na changamoto za uzazi? Pata huduma ya upimaji na ushauri wa dak...
11/10/2026

📢 TANGAZO LA VIPIMO VYA UZAZI KWA MWANAMKE!
Unasumbuliwa na changamoto za uzazi? Pata huduma ya upimaji na ushauri wa daktari kwa OFa MAALUM YA TSH 20,000 TU!

✅ Mivurugiko ya homoni
✅ Maumivu makali ya hedhi
✅ Maumivu wakati au baada ya tendo la ndoa
✅ Fangasi na miwasho ukeni
✅ UTI na maumivu wakati wa kukojoa
✅ Changamoto nyingine za afya ya uzazi
📞 Piga simu au WhatsApp: 0756652508

📍 Tunapatikana Dar es Salaam na mikoani.
❤️ Usipuuzie afya yako, chukua hatua mapema!

OFA OFA YA VIPIMO MUHIMU KWA MWANAMKE NA MWANAUME  ANAYETAFUTA MTOTO 🤰🏽Wanawake wengi huzunguka hospitali bila kufanyiwa...
02/10/2026

OFA OFA YA VIPIMO MUHIMU KWA MWANAMKE NA MWANAUME ANAYETAFUTA MTOTO 🤰🏽

Wanawake wengi huzunguka hospitali bila kufanyiwa uchunguzi kamili…
Au mume hajafanyiwa hata kipimo kimoja.
Hapo unateseka miaka — bila kujua chanzo halisi 🙃

📌Hivi ndivyo vipimo vya msingi unapopaswa kufanya, FANYA KUSAVE KABISA post Hii Ili kujikumbushia Kwa Baadae Ukisahau:

1️⃣ ULTRASOUND ya via vya uzazi
Inatuonesha kizazi, mfuko wa mayai, uvimbe, mirija, na hali ya jumla ya mfumo wa uzazi.

2️⃣ Vipimo vya kuonesha MAYAI KUPATWA / KUPEVUKA
Progesterone siku 7 kabla ya hedhi inayofuata, au OPK nyumbani.

3️⃣ Vipimo vya AKIBA YA MAYAI
AMH + FSH kutathmini uwezo wa mayai na kiwango cha kushuka kwake kadri muda unavyosonga.

4️⃣ Uchunguzi wa MIRIJIA (HSG)
Hapa tunajua k**a mirija imeziba au iko wazi.

5️⃣ Vipimo vya HOMONI
Kwa wanawake wenye mzunguko usioeleweka, kukosa hedhi, kutoa maziwa, uke mkavu, au kupoteza hamu ya tendo; tunapima Estrogen, Progesterone, LH, FSH, Prolactin, n.k.

6️⃣ Vipimo vya MBEGU ZA KIUME
Safari ya ujauzito ni ya WAWILI.
Mpenzi/mume naye apime s***m count, morphology na motility.
Usiibebe peke yako Mateso/ lawama zote za Kukosa Ujauzito ✋🏽

---Vipimo hivi utapima Kwa Ofa ya
Tsh 20,000/= kwakua watu wengi wanasumbuliwa na changamoto za uzazi wai mapema.

KOSA KUBWA WANAWAKE WENGI HUFANYA:
Kupima peke yao bila mume… au kufanya vipimo visivyo sahihi halafu wanahangaika miaka bila mafanikio.

---

🔐 Sasa hapa ndipo siri ya mafanikio inapoanzia…

Kwa wanawake na wanandoa waliopitia matibabu mengi bila kufanikiwa, waliochoka kuambiwa “SUBIRI TU”, waliozunguka bila majibu—

Ni tiba inayoshambulia chanzo cha tatizo:
✔️ Humaliza fangasi/maambukizi yanayorudiarudia
✔️ Hurekebisha homoni
✔️ Hufungua na Kubalance mzunguko Wa Hedhi
✔️ Huongeza idadi & ubora wa mayai
✔️ Huandaa mwili kupokea na kutunza mimba ndani ya 30–90 days kulingana na hatua ya tatizo

Matokeo yake?
Wanawake waliokuwa wanaitwa “MGUMBA” leo ni mama wa mtoto.

Wanandoa waliokuwa na maumivu… sasa wanashukuru Mungu 🙏🏾

Dozi utegemea ukubwa wa changamoto yako.
baada ya kupata majibu ya vipimo.

Tunapatikana dar es salaam, visiwani na mikoa yote Tanzania

Kwa mawasiliano 0756652508

Usisubiri tatizo liwe kubwa ndipo uchukue hatua. Fahamu hali ya mfumo wako wa uzazi kwa kufanya vipimo kwa ELFU 20,000 T...
01/10/2026

Usisubiri tatizo liwe kubwa ndipo uchukue hatua.

Fahamu hali ya mfumo wako wa uzazi kwa kufanya vipimo kwa ELFU 20,000 TU.
Ndani ya dakika 10
Ushauri wa daktari BURE
Dar es Salaam na mikoani

📲 Piga simu au WhatsApp: 0756652508

Wahi mapema, chukua hatua kwa afya yako.
👉 Wewe uko wapi?

30/09/2026
Usisubiri tatizo liwe kubwa ndipo uchukue hatua. Fahamu hali ya mfumo wako wa uzazi kwa kufanya vipimo kwa ELFU 20,000 T...
22/09/2026

Usisubiri tatizo liwe kubwa ndipo uchukue hatua.

Fahamu hali ya mfumo wako wa uzazi kwa kufanya vipimo kwa ELFU 20,000 TU.
Ndani ya dakika 10
Ushauri wa daktari BURE
Dar es Salaam na mikoani

📲 Piga simu au WhatsApp: 0791888753

Wahi mapema, chukua hatua kwa afya yako.
👉 Wewe uko wapi?

Address

Majumbasita, Ukonga-
Dar Es Salaam

Telephone

+255756652508

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA kipaumbele CHETU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share