MR.Deogrin afya bora

MR.Deogrin afya bora Tunahudumia watu wenye changamoto za kiafya ikiwemo wenye matatizo ya ini au figo piga simu +255766905818

22/09/2026

Leo nimekuandalia somo linalo husu dalili zote za Hepatitis B na fatty zikiwa na maana yake zinamaanisha nini pale zinapo tokea Soma kwa makini

Naitwa MR.DEOGRIN nipo kwaajiri ya kukupa elimu sahihi ya afya pamoja na matibabu sahihi k**a unapitia changamoto yoyote ya kiafya nitafute ili nikusaidie

22/09/2026

Hivi ndivyo ini na figo namna vinavyo shilikiana kufanya kazi pamoja sasa endapo ini lini litapata madhara nikipi kinaweza kutokea kwenye figo Soma hapo kwenye video kwa makini utajifunza

Naitwa MR.DEOGRIN nipo kwaajiri ya kukupa elimu sahihi ya afya pamoja na matibabu sahihi hakikisha unanitafuta k**a unapitia changamoto yoyote ya kiafya

22/09/2026

Jifunze apa ukiwa na MR.DEOGRIN AFYA NA TIBA nipo kwaajiri ya kukupa elimu sahihi ya afya pamoja na matibabu sahihi k**a unapitia changamoto yoyote ya kiafya usisite kunitafuta ili nikusaidie kutatua

HIZI NIDALILI ZOTE ZA HEPATITIS B  NA C K**A UPITIA DALILI ATA MOJA USISITE KUNITAFUTA ILU NIKUSAIDIE KUTATUA HIYO CHANG...
20/09/2026

HIZI NIDALILI ZOTE ZA HEPATITIS B NA C K**A UPITIA DALILI ATA MOJA USISITE KUNITAFUTA ILU NIKUSAIDIE KUTATUA HIYO CHANGAMOTO

Wagonjwa wengi wenye Hepatitis B au C mala nyingi huishi bila dalili yoyote na hukaa kwa muda mrefu sana bila dalili kabisa ila hizi nidalili ambazo uanza kujitokeza talatibu mpaka kupelekea ini kupata madhara wahi mapema tukusaidie

1. Dalili za awali

Mtu anaweza kupata:

Uchovu mwingi na kukosa nguvu

Homa nyepesi

Kukosa hamu ya kula

Kichefuchefu

Kutapika

Maumivu au uzito upande wa kulia juu ya tumbo

Maumivu ya viungo na misuli

Maumivu ya kichwa

Mwili kujisikia dhaifu

Kuharisha au usumbufu wa tumbo

Mkojo kuwa na rangi nyeusi

Kinyesi kuwa chepesi/kijivu

Ngozi kuwasha

2. Dalili zinapoanza kuathiri ini zaidi

Macho na ngozi kuwa ya njano (jaundice)

Tumbo kujaa au kuvimba

Miguu na vifundo kuvimba

Uchovu unaozidi

Kupungua uzito bila sababu

Kukosa hamu ya kula kwa muda mrefu

Kichefuchefu kinachorudia

Maumivu au usumbufu wa mara kwa mara upande wa kulia wa tumbo

Kuwashwa sana mwilini

4. Dalili za madhara makubwa zaidi

Katika ugonjwa wa ini ulioendelea sana, mtu anaweza kupata:

Kuchanganyikiwa sana au kupoteza fahamu

Kutapika damu

Kinyesi cheusi k**a lami

Tumbo kuvimba sana

Manjano makali

Uvimbe mkubwa wa miguu

Kushindwa kula vizuri

Udhaifu mkubwa sana

Kupungua sana uzito na misuli

Kushindwa kufanya shughuli za kawaida
..Hivi ndio dawa zetu zinavyo danya kazi mpaka kupona

Kupona ni dani ya wiki 4 wengine wiki 8

Kwa ambao wameshakwisha kuingia kwenye madhara kupona ni ndani ya wiki 12 adi wiki 25

20/09/2026

Endapo k**a unapitia izi dalili hakikisha unanitafuta ili nikusaidie kutatua hiyo changamoto

Naitwa Naitwa MR.DEOGRIN nipo kwaajiri yako katika elimu sahihi ya afya na matibabu sahihi

20/09/2026

Hakikisha unafatilia afya yako na unajifunza kuusu afya yako na kujilinda naitwa MR.DEOGRIN nipo kwaajiri yako ili uwe salama

19/09/2026

Jua afya yako leo na ujilinde naitwa MR.DEOGRIN nipo kwaajiri ya kukupa elimu sahihi ya afya na matibabu sahihi

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MR.Deogrin afya bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share