Dr. Lishe

Call Website Contact the business

Dr. Lishe Tunawasaidia watu wenye changamoto:-
1️⃣BAWASIRI.
2️⃣KISUKARI. 3️⃣NGUVU ZA KIUME KWA WALIYOOA TU

HADITHI 5 ZA UONGO KUHUSU BAWASIRIBaadhi ya wabongo wanaamini yafuatayo kuhusu bawasiri:1️⃣Bawasiri ni laana⁠-Wakati kil...
21/09/2026

HADITHI 5 ZA UONGO KUHUSU BAWASIRI

Baadhi ya wabongo wanaamini yafuatayo kuhusu bawasiri:

1️⃣Bawasiri ni laana
⁠-Wakati kila mtu anaweza kuipata “as long as” anajisaidia.🤬…
⁠
2️⃣Ukila pilipili tu ndio unaipata bawasiri
-Wakati vyanzo ni mishipa ya njia ya haja kubwa kupata shinikizo na kuvimba. Na huku vyanzo k**a “constipation”vikiongoza, n.k🚽…

3️⃣Inapona yenyewe
-Na ubaya zaidi unakuta kila siku bawasiri inazidi kuwa kubwa zaidi hususani kila ukipata choo kigumu au kukaa sehemu moja kwa muda mredu 😥…

4️⃣Upasuaji ndio tiba pekee
-Unakuta kila baada ya muda tu zinawarudia na kuanza kuwatesa upya vilevile bila ya upasuaji🧐…

5️⃣Ni ya wazee tu
-Bawasiri inampata mtu yeyote na mtu wa umri wowote na jinsia yoyote. Na zaidi hadi watoto wadogo wa kuanzia miezi kadhaa wanaweza kuipata hususani wakishafikia umri wa kuanza kula chakula na kupata choo kigumu. Vijana pia wanaipata na wazee pia. Japokuwa wazee wako hatarini zaidi kutokana na misuli yao kupoteza “stractural protein” kwa kiasi kikubwa na kuifanya misuli yao izidi kuzoofika hata kuvimba kiwepesi kutengeneza bawasiri.

Kwahiyo hapa cha kuzingatia pia ni kwamba k**a una bawasiri ni vyema ukaitibu mapema kadri umri unavyoongezeka ndivyo unavyokuwa hatarini zaidi ya kuteseka kwa bawasiri yako huko mbeleni na kukufanya hata kunuka kinyesi hususani ukifika uzeeni🥹…

NB: Pitia vizuri page yetu hii ya bawasiri kwenye post zetu za nyuma kuna elimu nzuri sana ya kutosha kuhusu bawasiri…✍️

Tucheck chapu TUMALIZE TATIZO LA BAWASIRI YAKO BILA UPASUAJI👋

👨‍⚕️KUPATA SULUHISHO HILI FANYA HVI👇

📱Tuma ujumbe WhatsApp: +255 (0) 763184499

Au

☎️Piga: +255 (0) 763184499

BAWASIRI SOLUTION

K**a unazo dalili hizi 3, basi bawasiri yako imeshavuka hatua ya mwanzo.Kwanza, kinyama kimeshatoka nje na hakirudi ndan...
21/09/2026

K**a unazo dalili hizi 3, basi bawasiri yako imeshavuka hatua ya mwanzo.

Kwanza, kinyama kimeshatoka nje na hakirudi ndani chenyewe.

Pili, kila ukienda haja lazima damu itoke.

Tatu, muwasho na maumivu yanakufanya ushindwe kukaa kwa raha ofisini au kwenye gari au kwenye pikipiki.

Watu wengi wakiona hizi wanaanza kuogopa. Lakini bawasiri yako kuwa sugu haimaanishi haitibiki…

Inamaanisha ugonjwa umeshakuwa mkubwa sana na kupaka dawa tu nje hakuwezi kukufanya upone bawasiri ya namna hii.

Suluhisho letu la bawasiri lunaua ugonjwa kwa ndani na kwa nje kupitia dawa ya kunywa na dawa ya kupaka.

👨‍⚕️Kupata suluhisho hili fanya hivi👇

📱Tuma ujumbe WhatsApp: +255 (0) 763184499

Au

☎️Piga: +255 (0) 763184499.

BAWASIRI SOLUTION

-es-salaam .

CONSTIPATION, KUFUNGA CHOO NA BAWASIRI NI KITU KIMOJA. KIMOJA KINALETA KINGINE.Unapofunga choo na kupata choo kigumu (HA...
20/09/2026

CONSTIPATION, KUFUNGA CHOO NA BAWASIRI NI KITU KIMOJA. KIMOJA KINALETA KINGINE.

Unapofunga choo na kupata choo kigumu (HARD STOOL), lazima utajikamua sana tu chooni wakati wa kujisaidia haja kubwa. K**a ambavyo nimekuwa nikielezea kuwa kujikamua sana ndio adui namba moja wa bawasiri.

Choo kigumu kinapopita kwenye njia ya haja, kinakwaruza na hata kupasua mishipa laini ya sehemu ya njia ya haja kubwa. Mishipa hiyo ikikwaruzwa kila siku, inavimba, inatanuka na mwisho inatengeneza vile vinyama vya bawasiri (HEMORRHOIDS).

👨‍⚕️Na bawasiri yenyewe ikishakuwepo, inakuletea hofu ya kwenda haja kubwa kwa sababu ya maumivu. Unabana choo kwa muda mrefu, choo kinabaki sana kwenye utumbo na kinazidi kufyonzwa sana maji, na kuzidi kuwa kigumu zaidi, na unapojikakamua tena maumivu yanazidi kuwa makali.

✍️Na hivyo ndivyo CONSTIPATION inavyorudisha bawasiri na bawasiri inavyorudisha constipation.

DALILI ZA KUWA TAYARI UKO KWENYE MZUNGUKO HUU NI:
- Kukaa chooni dakika nyingi bila kutoka kitu
- Choo kinatoka k**a cha mbuzi, kigumu na chenye kukwaruza
- Kuhisi tumbo limejaa gesi na kupiga mingurumo
- Maumivu na damu baada ya haja kubwa

👋KWA NINI DAWA ZA KULAINISHA CHOO PEKEE HAZITOSHI?

Watu wengi wanakimbilia kununua dawa za kulainisha choo dukani. Hizo zinalainisha kwa siku moja au mbili tu, lakini hazitibu mishipa iliyolegea na kuvimba ndani. Ndio maana ukiacha kutumia, tatizo linarudi palepale.

✔️SULUHISHO LETU LA DAWA ZA KUNYWA NA KUPAKA LINAKATA MZUNGUKO HUU KWA PAMOJA NA KUMALIZA BAWASIRI NA VYANZO VYAKE VYOTE:

Suluhisho letu halilainishi choo tu. Linafanya kazi mbili kwa wakati mmoja:

1. Ndani ya utumbo, lina saidia mmeng’enyo na kulainisha choo kiasili ili usijikamue tena
2. Kwenye mishipa ya bawasiri, linakaza mishipa iliyolegea, kumaliza vinyama na viuvimbe vya bawasiri na linaondoa maumivu ili usiogope tena kwenda haja

Ukivunja huu mzunguko wa kufunga choo, ndio unaua chanzo cha bawasiri kabisa.

WASILIANA NASI:
📱WhatsApp: +255 (0) 763 184 499

au

☎️Piga: +255 (0) 763184499

BAWASIRI SOLUTION

UNAJUA BAWASIRI YAKO IKO NA HATUA NGAPI?Ok!, Kwenye hii poster nimekueleza kila kituBawasiri haianzi kubwa k**a unavyoio...
19/09/2026

UNAJUA BAWASIRI YAKO IKO NA HATUA NGAPI?

Ok!, Kwenye hii poster nimekueleza kila kitu

Bawasiri haianzi kubwa k**a unavyoiona hatua ya 4. Inaanzia ndani kimya kimya na ndio maana watu wengi huichelewesha mpaka inakuwa sugu.

HIZI NDIZO HATUA 4 ZA BAWASIRI:

HATUA YA 1:
Kinyama kinakuwa kipo ndani kabisa. Yaani huta kiona nje kabisa. Dalili yake ni kuwashwa kidogo na kuona damu nyekundu kwenye choo au kwenye tishu. Watu wengi huhisi ni kitu cha kawaida na kuipuuza.

HATUA YA 2:
Kinyama kinaanza kusukumwa nje wakati unajikakamua, lakini baada ya haja kubwa kinarudi ndani chenyewe. Hapa ndipo unahisi k**a choo hakijaisha na unabaki na hisia ya kuhitaji kujisaidia tena na tena.

HATUA YA 3:
Hapa ndio hatari inaanza. Kinyama kimeshatoka nje na hakirudi chenyewe ndani. Lazima ukisukume kwa mkono. Maumivu, muwasho na kuvimba nje vinaanza. Hapa ndio watu wengi hushindwa kukaa vizuri.

HATUA YA 4:
Hii ndio hatua ya mwisho na mbaya zaidi k**a hapo kwenye picha kulia. Vinyama vimekaa nje kabisa, vimevimba sana, ni vigumu na haviingii ndani hata ukivisukuma. Kila ukienda haja kunavuja damu na maumivu makali.

UKWELI USIYOUJUA:
Bawasiri haiponi yenyewe. Hii ni maalumu kwenu mnaosemaga eti “bawasiri yangu inakuja na kupotea” alafu eti na nyie mna’RELAX 🤔…

Bawasiri ukizembea basi wewe unakuwa haujipendi kabisa wala haujitakii mema.

🙋‍♂️Wewe upo hatua gani kati ya hizi?(Tuandikie chini hapo…Au ni siri yako😊…) basi nicheck WHATSAPP mapema tuzungumze upate suluhisho hili la uhakika linaloimaliza bawasiri kabisa bila upasuaji wa aina yoyote ile.

📱Wasiliana nasi leo:
WhatsApp: +255 (0) 763 184 499

BAWASIRI SOLUTION

Pona bawasiri bila upasuaji k**a hivyo, basi wewe tucheck mapema upate msaada👋Kupona ni 100%CONTACT US⤵️📱Tuma ujumbe Wha...
19/09/2026

Pona bawasiri bila upasuaji k**a hivyo, basi wewe tucheck mapema upate msaada👋

Kupona ni 100%

CONTACT US⤵️

📱Tuma ujumbe WhatsApp:0763184499

Au

☎️Piga:0763184499.

BAWASIRI SOLUTION

JE, NAWEWE VINYAMA VILIANZIA NDANI NA KWASASA VINAKAA NJE MUDA WOTE?Hii ni hatua hatari zaidi ya bawasiri ni hatua ya mw...
18/09/2026

JE, NAWEWE VINYAMA VILIANZIA NDANI NA KWASASA VINAKAA NJE MUDA WOTE?

Hii ni hatua hatari zaidi ya bawasiri ni hatua ya mwisho ya bawasiri yaani LEVEL 4 ambayo unakuta wengi wao wanakuwa wameichelewesha na hata kuizembea.

Maana Mlmwanzoni huanza k**a vinyama vidogo ndani ya njia ya haja kubwa vinavyotoka nje wakati wa kujisaidia na kurudi ndani.

Baada ya muda, kwa sababu ya kutoitibu k**a unavyoona kwenye picha, mishipa huvimba na kulegea kabisa na sasa kinyama au vinyama au viuvimbe huanza kukaa nje ya round ya haja kubwa.

Mara nyingi unaweza kujihisi dalili hizi zifuatazo:-
- Unahisi kitu kimetoka nje baada ya haja kubwa, wakati mwingine kinarudi ndani, wakati mwingine kinabaki nje
- Maumivu makali na miwasho isiyoisha
- Kinyama kimevimba, kimefura na kinauma ukikaa
- Choo kinachanganyika na damu au k**asi(mucus)

Sababu ya kwanini bawasiri inahitaji kutibiwa kuanzia ndani, sio kukata tu kinyama nje.

Watu wengi wanafanya kosa la kufikiria shida ni vile vinyama vilivyovimba nje tu. Kumbe mzizi wa tatizo upo ndani. Yaani mishipa ya ndani imetanuka na mzunguko wa damu umeathirika na mishipa kuvimba k**a vinyama. Ndio maana bawasiri nyingi zilizofanyiwa ya upasuaji hurudia kwa kasi sana.

👨‍⚕️Suluhisho letu linamaliza changamoto hii bila upasuaji maana tunaua ugonjwa kwa ndani kupitia dawa ya kunywa na kwa nje kupitia dawa ya kupaka. Kisha ukishapona unapata na “diet therapy program for hemorrhoids” ambayo utatumiwa kwenye whatsApp yako ili ujue na namna ya kuepukana na vyanzo vyote vya bawasiri kulingana na aina ya shughuli zako za kila siku.

✅MAWASILIANO:
📱Tuma ujumbe WhatsApp:0763184499

au

☎️Piga: +255 (0) 763184499

BAWASIRI SOLUTION

✅BAWASIRI KUVULIA DAMU USIICHUKULIE POA UTATESEKA!Watu wengi wanajua bawasiri ya kawaida, lakini hii ya kwenye picha ina...
17/09/2026

✅BAWASIRI KUVULIA DAMU USIICHUKULIE POA UTATESEKA!

Watu wengi wanajua bawasiri ya kawaida, lakini hii ya kwenye picha inaitwa HEMORRHOIDAL THROMBOSIS

Hii ni hatua mbaya zaidi ya bawasiri ambapo damu inaganda ndani ya mishipa ya sehemu ya haja kubwa. Ndio maana kwenye picha unaona k**a uvimbe mweusi mgumu kwenye njia ya haja kubwa na unaweza ukawa nje pia.

DALILI ZAKE:
1. Maumivu ya ghafla na makali mnooo, hasa ukikaa
2. Kuvimba kwa vinyama nje ya njia ya haja kubwa k**a puto(balloon) au k**a punje za maharagwe nje ya tundu la haja kubwa.
3. Kuwashwa na kuungua wakati wa haja kubwa
4. Wakati mwingine kutoka damu nyeusi iliyoganda

CHANZO CHAKE:
Chanzo chake ni bawasiri ambayo inakuwa haijatibiwa hususani pale unapokaa sana chooni ukijikamua, mwili unapokosa maji ya kutosha, kula vyakula vikavu sana, uzito mkubwa, na kukaa sana bila kutembea kwa mgonjwa wa bawasiri

Aisee maumivu yake si ya mchezo ndugu yangu. Watu wengi hushindwa kukaa, kulala na hata kushindwa kufanya shughuli zao za kila siku.

SULUHISHO LETU LA ASILI LINAKUSAIDIA KATIKA MAMBO YAFUATAYO:
Badala ya upasuaji ambao ni gharama na maumivu, sisi suluhisho letu la asili hufanya kazi kwa kuua ugonjwa kwa ndani na kwa nje:
- Huyeyusha damu iliyoganda kwenye mishipa
- ⁠Humaliza maumivu makali haraka sana ndani ya masaa24 tu
- Humaliza kabisa vinyama na viuvimbe vyote na panakuwa fulati kabisa k**a ulivyozaliwa
- Husaidia mzunguko wa damu kurudi kawaida ili hali isikurudie tena
- Unapona bila upasuaji💪
- ⁠Na miwasho yote inaisha, choo kigumu, kukosa choo, vimajimaji n.k

👋Ili kutokomeza bawasiri yako sasa fanya hivi👇

📱Tuma ujumbe WhatsApp: +255 (0) 763184499
au
PIGA: +255 (0) 763184499.

BAWASIRI SOLUTION


Tanzania DarEsSalaam BawasiriSolution Hemorrhoids ElimuYaAfya AfyaBora

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Lishe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dr. Lishe:

Shortcuts

Share