Global Light & Co. Ltd

Website Contact the business

Global Light & Co. Ltd Get equipped with Leadership skills to make yourself competent in all areas of life. LEADERSHIP TRAINING ORGANIZATION

With All Truth Abiders Church โ€“ I just got recognised as one of their top fans! ๐ŸŽ‰
18/02/2025

With All Truth Abiders Church โ€“ I just got recognised as one of their top fans! ๐ŸŽ‰

๐ŸŽ‰ Karibu Grandystar Express kwenye familia ya Tiketi Rafiki! Tunafurahia kuwa na kampuni hii ya mabasi maarufu kutoka Mb...
12/09/2024

๐ŸŽ‰ Karibu Grandystar Express kwenye familia ya Tiketi Rafiki! Tunafurahia kuwa na kampuni hii ya mabasi maarufu kutoka Mbeya katika mfumo wetu. Tunashukuru sana kwa wote wanaoendelea kutuunganisha na kampuni mbalimbali za mabasi. Ushirikiano wenu unasaidia kukuza huduma bora za usafiri! ๐Ÿ™Œ

Endelea kutuletea maoni na ushauri wako. Pamoja, tunarahisisha safari!



๐ŸŽ‰ Welcome Grandystar Express to the Tiketi Rafiki family! We're excited to have this esteemed bus company from Mbeya join our platform. A big thank you to everyone referring bus companies to Tiketi Rafiki. Your support is helping us improve transport services! ๐Ÿ™Œ

Keep your feedback and suggestions coming. Together, we're making travel easier!

Thank you Worcester Polytechnic Institute (WPI) , a private research university in Worcester, Massachusetts, for recogni...
10/06/2024

Thank you Worcester Polytechnic Institute (WPI) , a private research university in Worcester, Massachusetts, for recognizing Tiketi Rafiki as one of the innovations bringing about change.

Asante Worcester Polytechnic Institute (WPI) , chuo kikuu cha utafiti binafsi kilichopo Worcester, Massachusetts, kwa kutambua Tiketi Rafiki k**a moja ya uvumbuzi unaoleta mabadiliko.

Link: https://www.wpi.edu/about/innovations-from-wpi

Ni furaha๐Ÿ˜ƒ! Tiketi Rafiki hatimae imefanya  maboresho ya namna wateja wetu wanavyofanya malipo. Zimebaki siku tatu tu ka...
04/06/2024

Ni furaha๐Ÿ˜ƒ! Tiketi Rafiki hatimae imefanya maboresho ya namna wateja wetu wanavyofanya malipo. Zimebaki siku tatu tu kabla ya mfumo wa malipo wa kidigitali kuanza kutumika rasmi kwa wateja wetu wote Tanzania. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

๐Ÿ˜†Getting excited! Tiketi Rafiki is finally ready to revolutionize the way our customers make payments across Tanzania! Just three days to go!๐Ÿ‘Š

Kwa niaba ya uongozi wa Tiketi Rafiki, tunawapa pole wateja wetu wote wa mabasi ya mikoani na magari ya kukodi kwa chang...
14/05/2024

Kwa niaba ya uongozi wa Tiketi Rafiki, tunawapa pole wateja wetu wote wa mabasi ya mikoani na magari ya kukodi kwa changamoto ya mtandao iliyotokea jana kutokana na hitilafu za nyaya za mawasiliano za chini ya maji. Tunafurahi kuwajulisha kuwa huduma zetu za Tiketi Rafiki, ambazo kwa sehemu ziliathirika, sasa zimerudi na zinaendelea k**a kawaida. Asanteni kwa kuendelea kushik**ana nasi.

On behalf of the management of Tiketi Rafiki, we apologize to all our customers of intercity buses and special hire services for the network challenge experienced yesterday due to underwater communication cable malfunctions. We are pleased to inform you that our services, which were partially affected, are now back and running smoothly as usual. Thank you for your continued support.

Kwa wamiliki wote wa mabasi nchini Tanzania, timu yetu ya Tiketi Rafiki iko tayari na inasubiri kuhudumia masaa 24/7. Un...
07/05/2024

Kwa wamiliki wote wa mabasi nchini Tanzania, timu yetu ya Tiketi Rafiki iko tayari na inasubiri kuhudumia masaa 24/7. Una swali lolote? Wasiliana nasi leo.

For all bus operators in Tanzania, our Tiketi Rafiki team is ready and on standby to serve 24/7. Have any queries? Reach out to us today.

Tiketi Rafiki: Habari njema kwa wateja wetu, mfumo bora wa ukusanyaji wa malipo tulioahidi kulingana na maombi ya wateja...
26/04/2024

Tiketi Rafiki: Habari njema kwa wateja wetu, mfumo bora wa ukusanyaji wa malipo tulioahidi kulingana na maombi ya wateja wetu sasa uko tayari kwa 100%. Na mwezi wa Mei, 2024, utaanza kutumika ๐Ÿ˜Š. Kaa mkao wa kula, na saidia kuendelea kuwaalika wamiliki zaidi wa mabasi kujiunga nasi, Tiketi Rafiki.

Tiketi Rafiki: Good news to our customers, the improved payment collection system we promised according to our customers' requests is now 100% ready. And in the month of May, 2024, it will start operating ๐Ÿ˜Š. Stay tuned, and help continue inviting more bus owners to join us, Tiketi Rafiki.

Tunafurahi kuwa na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Mh. Janeth Mayanja, katika tukio letu la Jumamosi tarehe 13 Aprili, 2024....
12/04/2024

Tunafurahi kuwa na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Mh. Janeth Mayanja, katika tukio letu la Jumamosi tarehe 13 Aprili, 2024.

We're delighted to have the district commissioner of Chamwino, Hon. Janeth Mayanja, for our Saturday's event on April 13, 2024.

Tunashukuru kwa ushirikiano tunaoupata kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Mh. Janeth Mayanja, kwa ujenzi wa Kituo ch...
11/04/2024

Tunashukuru kwa ushirikiano tunaoupata kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Mh. Janeth Mayanja, kwa ujenzi wa Kituo cha Mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) cha kisasa. Jumamosi hii, Aprili 13, 2024, Mkuu wa Wilaya, Mhe. Janeth, atatambulisha rasmi mradi kwa umma kupitia Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC). Asanteni sana kwa wote waliodhamini na wanaoendelea kudhamini mradi huu unaolenga kusaidia wakulima, wafanyabiashara, watumishi wa umma, wanafunzi, vijana, na watoto. Tunakaribisha wadhamini zaidi. Kwa mawasiliano, piga: +255 744 861 893 au barua pepe: [email protected]

We are grateful for the cooperation we are receiving from the District Commissioner of Chamwino, Hon. Janeth Mayanja, for the construction of a modern Information and Communication Technology (ICT) Training Center. This Saturday, April 13, 2024, the District Commissioner, Hon. Janeth, will officially introduce the project to the public through the Tanzania Broadcasting Corporation (TBC). Thank you very much to all who have sponsored and continue to sponsor this project aimed at assisting farmers, traders, public servants, students, youth, and children. We welcome more sponsors. For inquiries, call: +255 744 861 893 or email: [email protected]

Kwa niaba ya uongozi wa Tiketi Rafiki na k**ati ya maandalizi kwa ajili ya ujio wa Naibu Waziri , Ofisi ya Rais - Tamise...
30/03/2024

Kwa niaba ya uongozi wa Tiketi Rafiki na k**ati ya maandalizi kwa ajili ya ujio wa Naibu Waziri , Ofisi ya Rais - Tamisemi, Mheshimiwa Deogratius Ndejembi Deo Ndejembi, tunapenda kwa furaha kutangaza ushirikiano wetu na benki kubwa ya biashara nchini Tanzania, CRDB Bank Plc, kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha kisasa cha Mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Dodoma, Tanzania.

On behalf of the management of Tiketi Rafiki and the preparation committee for the arrival of the Deputy Minister, President's Office, TAMISEMI, Hon. Deogratius Ndejembi Deo Ndejembi, we are pleased to announce our partnership with Tanzania's largest commercial bank, CRDB Bank Plc, for the construction of the state-of-the-art ICT Training Center in Dodoma, Tanzania.

Address

Dodoma
P.OBOX3605

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Global Light & Co. Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Global Light & Co. Ltd:

Shortcuts

Share