10/11/2026
: SIRI KUBWA NI MAAJABU YA GUNDI YA KWENYE MTIš. Wengi wakiona gundi k**a hii kwenye mti hudhani ni uchafu au mti umeumia, kumbe ni baraka
Gundi ni machozi ya mti. Mti unapopasuka kwa jua au upepo, hutoa ute huu wa dhahabu k**a ulinzi wake. Ndani yake kuna nguvu ya asili ya kutuliza na kusafisha
Katika Asili Kila kinacho kuzunguka kinaweza kua na faida kwako kutegemea na jinsi unavyokipokea na kukitumia kitu hicho. Uleta mvuto, kuleta bahati nk
Katika jamii nyingi, huwa unaona gundi inatokea kwenye mimea mbalimbali wengi hawaelewi hii ni nini? mti unaharibiika au basi hiii ndio ufunguo katika tiba asili, kitu chenye nguvu kubwa sana.
ā¶ļø Amini usi Amini... Kwakuwa umezoea kuwa kila kitu wewe huo uchawi una kubwabwaja hali huna elimu Asili. Wazee wa asili wamekuwa wakitumia gundi kwa miaka mingi. Sio kwa uchawi, bali kwa usafi na utulivu wa mwili na nyumba.
Endelea kupita mti wenye gundi Asili ni Baraka kubwa sadiki nisemacho leo ujione miujiza mikubwa. wengi tunafahamu gundi ya miti.
Maelezo Muhimu ya Gundi
ā¶ļøKuleta bahati ya pesa na ku*ilinda zisiibiwe gundi yake Ogea mara mbili kwa siku asubuhi na jioni kwa siku 7 mfululizo. K**a mgonjwa tumia itafuta mhuri au chale za kichawi mwilini haraka..āØ
ā¶ļøHuondoa nguvu za kichawi kwenye biashara kichawi mfano chuma ulete n.k :
Chukua gundi, chumvi ya mawe, pilipilimanga choma sehemu yako ya biashara.
ā¶ļøKuvutia unavyovihitaji ndoa au mpenzi uliye naye haeleweki weke sawa kwako chukua urimbo huu changanya na mafuta ya n**i, vipipi na mafuta ya msoniti pakaa kwenye sehemu za siri wakati wa tendoo au k**a hujampata andika karatasi zenye jina lake uchangaa na msoniti na gundi uchome kilaa siku 6 usiku kwa siku 3
ā¶ļøKuondoa uchawi mwilini:
Kata mti wenye gundi na gundi yake chemsha ogea kwa siku 7
ā¶ļø Gundi la Kusafisha Hewa na Nyumba:
Chukua kipande kidogo cha gundi kavu k**a hiki pichani, weka kwenye mkaa mdogo au chetezo safi. Moshi wake una harufu nzuri ya asili husaidia kuondoa harufu mbaya ndani, uchawi na pia mbu na wadudu wadogo. Choma asubuhi tu, sio usiku.
ā¶ļøGundi la Kulainisha Ngozi na Midomo:
Gundi la miti k**a Mwarobaini na Mwembe likikauka na kusagwa, changanya na mafuta ya n**i au asali kidogo. Watu wengi hulipaka midomo iliyopasuka na mikono mikavu. Hulainisha ngozi kwa asili.
ā¶ļøGundi la Chai ya tiba ya kifua pumu na Koo.
Kwa wengine, gundi safi ya Mwarobaoni huchemshwa kidogo na maji ya uvuguvugu na kunywewa k**a chai. Husaidia kutibu pumu, kifua kikavu na kwikwi. Kunywa kidogo tu.
:K**a una presha, kisukari, mzio au ni mjamzito, usinywe bila kuuliza daktari kwanza.
ā¶Gundi la Kuweka Kumbukumbu na Utulivu:
Harufu ya gundi la miti ya asili k**a ubani na manemane hutuliza akili. Watu wengi huchoma kidogo wanapotaka kusoma, kuomba au kupumzika. Akili inapokuwa tulivu, mawazo ya kazi na biashara hufunguka.
ā¶ļøLIBWATA sitasema hapa.
ā¶ļøKumloga mtu asiendelee
ā¶ļøChumaulete.
MUHIMU:
- Usikate mti vibaya ili kupata gundi. Gundi nzuri hutoka yenyewe. Chukua iliyokauka tu.
- Usitumie gundi kwa nia ya kumdhuru mtu, kumfunga mke au mume. Hiyo ni dhambi na inavunja ndoa na familia.
- Gundi ni sehemu ya asili, sio dawa K**a unaumwa, wasiliana nami kwanza.
Usisahau kufollow page yetu.. Kuchukua link ya channel yetu WhatsApp: +255 758 673 897
ASILI NI NJIA - Tabibu Marimo Herb's