Twaib Herbal Products

Directions Website Contact the business

Twaib Herbal Products Twaib Herbs ni wazalishaji na wasambazaji wa dawa za asili zinazotokana na miti,magome,majani,mizizi,mbegu/arabic medicines na virutubisho asili.

Dawa zetu hazina kemikali. https://whatsapp.com/channel/0029VbDfL86EAKWDAU8umK2p
𝐈𝐧𝐬𝐡𝐚'𝐀𝐥𝐥𝐚𝐡🙏

04/11/2026

.
𝗠𝗧𝗨𝗠𝗘 𝗠𝗨𝗛𝗔𝗠𝗠𝗔𝗗(𝗦.𝗔.𝗪)
Tunahitisha sehemu ya kwanza ya simulizi hii usikose sehemu ya pili kwa wale ambao hawakuipata hii.
Baada ya kumaliza simulizi usisahau kumswalia Mtume.
Share zaidi kwani kueneza elimu bora ni ujira mkubwa mbele ya Allah.
+255636607724. 𝗧𝗪𝗔𝗜𝗕 𝗛𝗘𝗥𝗕𝗔𝗟 𝗣𝗥𝗢𝗗𝗨𝗖𝗧𝗦

04/11/2026

Anza asubuhi yako na Flat Belly kutoka Twaib Herbal Products kwa matokeo bora zaidi. 🌿 Huondoa gesi na kukusaidia kupunguza uzito kwa njia asili kabisa.

Check out the link in bio or WhatsApp 0636 607 724 to order yours today! Twaib Herbal Products

𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗬𝗔 𝗨𝗭𝗔𝗭𝗜 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗞𝗢𝗦𝗔 𝗛𝗔𝗠𝗨 𝗬𝗔 𝗧𝗘𝗡𝗗𝗢/𝗡𝗗𝗢𝗔  𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘 𝐀𝐙𝐇𝐀𝐑 𝐒𝐘𝐑𝐔𝐏              (𝑾𝒐𝒎𝒆𝒏 𝑳𝒊𝒃𝒊𝒅𝒐)Dawa ya asili yenye mcha...
03/11/2026

𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗬𝗔 𝗨𝗭𝗔𝗭𝗜 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗞𝗢𝗦𝗔 𝗛𝗔𝗠𝗨 𝗬𝗔 𝗧𝗘𝗡𝗗𝗢/𝗡𝗗𝗢𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘
𝐀𝐙𝐇𝐀𝐑 𝐒𝐘𝐑𝐔𝐏
(𝑾𝒐𝒎𝒆𝒏 𝑳𝒊𝒃𝒊𝒅𝒐)
Dawa ya asili yenye mchanganyiko wa mimea na asali maalumu kwa wanawake.Azhar Syrup
1.𝐇uongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke.
2.𝐇urutubisha mayai ya k**e
3.𝐇urekebisha mzunguko wa hedhi na kusafisha mirija.
4.𝐇uondoa hali ya ukavu ukeni na kurejesha ute wa uzazi.
5.𝐇uchochea hali ya kujiamini katika tendo la ndoa kwa mwanamke.
𝐌𝐀𝐓𝐔𝐌𝐈𝐙𝐈:
Kunywa vijiko vya chakula 2x2.
𝐖𝐡𝐚𝐭𝐬𝐀𝐩
0636 607 724

Twaib Herbal Products

03/11/2026

𝗕𝗟𝗢𝗢𝗗 𝗖𝗟𝗘𝗔𝗡𝗦𝗘𝗥🩸
DAWA YA KUSAFISHA DAMU

Dawa hii ya asili iliyoandaliwa kwa virutubisho na mimea,maalum kwa afya ya damu na ufanyaji kazi wake mwilini k**a:
1.Kuondoa taka na sumu kwenye damu
2.Kuua minyoo tumboni na vimelea hatarishi
3.Kusafisha damu
4.Hutibu Mzio(Allergy)
5.Huongeza kinga za mwili.

MATUMIZI:
Wakubwa: Tumia kikombe 1 cha kahawa mara mbili kwa siku.
Watoto: Tumia kijiko cha chakula 2x2
Tikisa vizuri dawa kabla ya matumizi

𝐅𝐫𝐞𝐧𝐜𝐡
Purificateur sanguin
Sirop détox
Ce médicament naturel, formulé à partir de compléments alimentaires et de plantes, contribue au bon fonctionnement du sang, notamment :
1. Élimine les déchets et les toxines du sang
2. Tue les vers et parasites intestinaux
3. Purifie le sang
4. Antiallergique
5. Détoxifie le sang et renforce l'immunité.

Utilisation :
Adultes : 1 tasse à café deux fois par jour.
Enfants : 2 cuillères à soupe
Bien agiter avant emploi.

𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗔𝗽𝗽
+255636607724
𝗧𝗪𝗔𝗜𝗕 𝗛𝗘𝗥𝗕𝗔𝗟 𝗣𝗥𝗢𝗗𝗨𝗖𝗧𝗦

03/11/2026

.
𝗠𝗧𝗨𝗠𝗘 𝗠𝗨𝗛𝗔𝗠𝗠𝗔𝗗(𝗦.𝗔.𝗪)
Mlioomba niirudie na hii ina rangi nzuri na muonekano bora.
Historia yake haichoshi unaamka nayo,unashinda nayo na kulala nayo.
Baada ya kumaliza simulizi usisahau kumswalia Mtume.
Share zaidi kwani kueneza elimu bora ni ujira mkubwa mbele ya Allah.
+255636607724. @𝗧𝗪𝗔𝗜𝗕 𝗛𝗘𝗥𝗕𝗔𝗟 𝗣𝗥𝗢𝗗𝗨𝗖𝗧𝗦

02/11/2026

hii ni dawa maalum kwa kupambana na baktria wote wanaosababisha vidonda vya tumbo,gesi(asidi),hutuliza maumivu makali ya tumbo kwa haraka.
Kaa tayari kwa dawa hii mpya iliyo bora sisi ni 𝗧𝗪𝗔𝗜𝗕 𝗛𝗘𝗥𝗕𝗔𝗟 𝗣𝗥𝗢𝗗𝗨𝗖𝗧𝗦 wasiliana nasi kwa namba +255636607724

Ndugu zangu Waiislamu natumai mmeona tangazo la harakati hizi zilizoanzishwa na 𝗧𝗪𝗔𝗜𝗕 𝗛𝗘𝗥𝗕𝗔𝗟 𝗣𝗥𝗢𝗗𝗨𝗖𝗧𝗦Tunakuomba uonapo t...
31/10/2026

Ndugu zangu Waiislamu natumai mmeona tangazo la harakati hizi zilizoanzishwa na 𝗧𝗪𝗔𝗜𝗕 𝗛𝗘𝗥𝗕𝗔𝗟 𝗣𝗥𝗢𝗗𝗨𝗖𝗧𝗦
Tunakuomba uonapo taarifa hii hebu mueleze na Imam/Sheikh hapo ili msikiti wake nao ufikiwe na hizi sadaka.Unaweza kushare zaidi uwezavyo.
🙏
SHEIKH NURDEEN KISHK Antonio Nugaz Othman Maalim Amri Hersi Said Arafat Haji Ally Kamwe Ahmed Ally Young Africans Sports Club Simba Sports Club

  wa Al Masjid Aisha Islamic Centre-Muriet Arusha ukiongozwa na Imam Mzamilu Juma unatoa shukrani kwa wote waliojitolea ...
31/10/2026

wa Al Masjid Aisha Islamic Centre-Muriet Arusha ukiongozwa na Imam Mzamilu Juma unatoa shukrani kwa wote waliojitolea sadaka kuendeleza harakati za uislamu katika huduma ya maji na umeme.

:
Tunaendelea kupokea mawasiliano ya kila Msikiti Tanzania ili harakati hizi ziendelee wapo wengi wanatamani kutoa sadaka kwa ajili ya maji na umeme katika misikiti yetu.
EWE IMAM AU SHEIKH WASILIANA NASI KUPITIA WHATSAP +255636607724 Au piga +255767607724.

:Jina la Msikiti,picha,sehemu ulipo,Mawasiliano ya Imam na huduma za kupokea sadaka(Lipa namba na usajili husika wa Masjid).

𝗧𝗪𝗔𝗜𝗕 𝗛𝗘𝗥𝗕𝗔𝗟 𝗣𝗥𝗢𝗗𝗨𝗖𝗧𝗦

𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗬𝗔 𝗨𝗩𝗜𝗠𝗕𝗘 𝗔𝗜𝗡𝗔 𝗭𝗢𝗧𝗘 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘:IKIWA UMETESEKA SANA KUHANGAIKA NA DAWA YA UVIMBE WA KIZAZI AINA ZOTE .BASI TIBA Y...
31/10/2026

𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗬𝗔 𝗨𝗩𝗜𝗠𝗕𝗘 𝗔𝗜𝗡𝗔 𝗭𝗢𝗧𝗘 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘:
IKIWA UMETESEKA SANA KUHANGAIKA NA DAWA YA UVIMBE WA KIZAZI AINA ZOTE .BASI TIBA YA UHAKIKA NI HII

𝐅𝐈𝐁𝐑𝐎𝐈𝐃𝐒 𝐂𝐀𝐑𝐄
NDIO SULUHISHO

Hii ni dawa ya kisunnah yenye mchanganyiko wa dawa za asili na virutubisho mbalimbali kwa kutibu:
1.Uvimbe wa aina zote katika mfuko wa uzazi. 2.Uvimbe katika mirija ya uzazi.
3.Uvimbe katika mfuko wa mayai
4.Huondosha maumivu makali ya tumbo na mgongo.
MATUMIZI
Tumia kijiko kikubwa asubuhi 2 kabla ya kula kitu na jioni 2.(2x2)

TIKISA DAWA KABLA YA KUTUMIA


0636 607 724


𝐅𝐈𝐁𝐑𝐎𝐈𝐃𝐒 𝐂𝐀𝐑𝐄
This is a Sunnah medicine with a mixture of natural remedies and various supplements to treats:
1.Uterine fibroids
2.Menorrhagia and myoma
3.Treat for ovarian cyst and fallopian tubes.
4.Removes severe abdominal and back pain.
USES
Use 2 tablespoons in the morning before eating anyting and 2 in the evening. (2x2)
SHAKE WELL MEDICINE BEFORE USE

Twaib Herbal Products

Hili ndilo  🕌🕋💛  Muislam hawezi pita hii.    𝗧𝗪𝗔𝗜𝗕 𝗛𝗘𝗥𝗕𝗔𝗟 𝗣𝗥𝗢𝗗𝗨𝗖𝗧𝗦
30/10/2026

Hili ndilo 🕌🕋💛
Muislam hawezi pita hii.
𝗧𝗪𝗔𝗜𝗕 𝗛𝗘𝗥𝗕𝗔𝗟 𝗣𝗥𝗢𝗗𝗨𝗖𝗧𝗦

Address

Https://maps. App. Goo. Gl/ZKQWWn4jDZtaHRKZ 6
Arusha
23122

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Twaib Herbal Products posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Twaib Herbal Products:

Shortcuts

Share

Nearby health & beauty businesses