02/11/2026
Umepewa maoni tofauti kuhusu matibabu yako?
Hilo linaweza kutokea. Daktari mmoja anaweza kupendekeza njia fulani ya matibabu, huku mwingine akipendekeza tofauti kulingana na tathmini yake, ripoti zilizopo na hali ya mgonjwa.
Kabla ya kufanya uamuzi mkubwa, ni muhimu kuelewa kwa nini mapendekezo hayo yanatofautiana na nini kinafaa kuzingatiwa katika hatua inayofuata.
Ikiwa tayari una ripoti, scans au ushauri wa awali wa matibabu, MedIncredi inaweza kusaidia kuratibu second opinion kutoka kwa daktari bingwa na kusaidia kuelewa chaguo zinazopatikana kabla ya kufanya maamuzi ya safari au matibabu.
Tuma ripoti zako kupitia WhatsApp:
+255 786 524 323
www.medincredi.com
MedIncredi husaidia kuratibu medical travel na miadi ya matibabu. Maamuzi ya matibabu, suitability, gharama, matokeo na muda wa matibabu hutegemea tathmini ya daktari au hospitali inayotibu.