AJAM herbal plus

Directions

AJAM herbal plus tunawasaidia wahanga wa magonjwa mbalimabali kwa kutumia dawa za asili

MAPIGO YA MOYO KWENDA MBIO (Heart palpitations)🔗Miongoni mwa dalili kubwa ya Acid reflux na vidonda vya tumbo ni mapigo ...
27/06/2026

MAPIGO YA MOYO KWENDA MBIO (Heart palpitations)

🔗Miongoni mwa dalili kubwa ya Acid reflux na vidonda vya tumbo ni mapigo ya moyo kwenda mbio hali inayowafanya wagonjwa wengi wenye changamoto hizo kuhisi wana magonjwa ya moyo na Presha.

🔗Wengine huamua kufanya vipimo vya magonjwa ya moyo k**a ECG & ECO na kuonekana hawana magonjwa hayo.

🔗Acid reflux husababisha Mapigo ya moyo kwenda mbio kwasababu husababisha irritation/stimulation ya Vagus nerve ambayo ni pair namba 10 katika neva za fahamu katika ubongo, neva hii husambaa kutoka kwenye ubongo hupita kwenye koo,kisha huenda kwenye moyo,tumbo na mfumo wa upumuaji.

Neva hyo inapokuwa irritated/stimulated husababisha moyo kwenda mbio kwani vagus nerve husababisha mapigo ya moyo pia (pulse rate).


0688 638 481
DAR ES SALAAM, TANDIKA
AJAM-HERBAL CLINIC

DALILI ZA ACID REFLUX                0688 638 481 ______________________🔗 Kifua kuwaka moto 🔗pumzi kubana🔗mapigo ya moyo...
27/06/2026

DALILI ZA ACID REFLUX


0688 638 481
______________________
🔗 Kifua kuwaka moto
🔗pumzi kubana
🔗mapigo ya moyo kwenda mbio
🔗 kuwa na hofu bila sababu
🔗 kiungulia mara kwa mara
🔗 kuhisi kitu kukwama kooni
🔗 maumivu ya koo
🔗 koo kukauka
🔗 makohozi kukauka
🔗 kukosa usingizi
🔗 Kuota ndoto za kutisha
🔗 maumivu mgongoni na mabegani
🔗 masikio kupiga kelele

● k**a una dalili hizi na unahitaji kupata suluhisho wasiliana nasi leo


0688 638 481
_______________

Tunapatikana
dar es salaam tandika

27/06/2026
0688 638 481 Tandika-dar es salaam
26/06/2026


0688 638 481
Tandika-dar es salaam

MATIBABU YA PID     (Pelvic care)Wenye kusumbuliwa na changamoto hizi ⤵️⤵️⤵️⤵️⤵️▪️kutokwa uchafu ukeni ▪️miwasho ukeni▪️...
26/06/2026

MATIBABU YA PID
(Pelvic care)

Wenye kusumbuliwa na changamoto hizi
⤵️⤵️⤵️⤵️⤵️

▪️kutokwa uchafu ukeni
▪️miwasho ukeni
▪️harufu mbaya ukeni
▪️Maumivu wakati wa tendo la ndoa
▪️maumivu chini ya kitovu
▪️uke kuwa mkavu
Nk

GHARAMA YA MATIBABU
67,000/=

Wasiliana nasi
📞0688 638 481
📞0688 638 481

MATIBABU YA PID     (Pelvic care)Wenye kusumbuliwa na changamoto hizi ⤵️⤵️⤵️⤵️⤵️▪️kutokwa uchafu ukeni ▪️miwasho ukeni▪️...
26/06/2026

MATIBABU YA PID
(Pelvic care)

Wenye kusumbuliwa na changamoto hizi
⤵️⤵️⤵️⤵️⤵️

▪️kutokwa uchafu ukeni
▪️miwasho ukeni
▪️harufu mbaya ukeni
▪️Maumivu wakati wa tendo la ndoa
▪️maumivu chini ya kitovu
▪️uke kuwa mkavu
Nk

GHARAMA YA MATIBABU
67,000/=

Wasiliana nasi
📞0688 638 481
📞0625 438 481

ZIJUE DALILI ZA U.T.I, FANGASI,PID, UVIMBE KWENYE KIZAZI NA HORMONAL IMBALABCE   zungu 📞 +255 688638481 📞+255 625438481_...
26/06/2026

ZIJUE DALILI ZA U.T.I, FANGASI,PID, UVIMBE KWENYE KIZAZI NA HORMONAL IMBALABCE

zungu
📞 +255 688638481
📞+255 625438481
_____________________

⚫ BAADHI YA DALILI ZA UTI
--------------------------------------------------
🔗Kujisikia kukojoa muda wote
🔗kuchoka sanaa
🔗Mkojo kutoa harufu
🔗Mkojo wa rangi
🔗Homa Kali
🔗kichefuchefu
🔗kutapika

⚫ BAADHI YA DALILI ZA FANGASI UKENI
---------------------------------------------------
🔗kuwashwa sehemu za siri
🔗Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa
🔗Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri
🔗Kupata vidonda
🔗Kupata michubuko ukeni
🔗Maumivu wakati wa kukojoa
🔗Kutokwa na uchafu wa rangi mweupe ukeni usio wa kawaida
🔗Mdomo wa uke kuvimba na kuwa na rangi nyekundu

⚫ BAADHI YA DALILI ZA PID
---------------------------------------------------
🔗Uchafu mzito ukeni wa rangi nyeupe au njano
🔗Uke kutoa harufu mbaya
🔗Kuwashwa sehemu za siri
🔗maumivu makali ya tumbo chini ya kitovu
🔗Uke kuwa mlaini sana
🔗Maumivu wakati wa tendo la ndoa
🔗Kuvurugikwa kwa hedhi
🔗Kutokwa na majimaji ukeni kupita kiasi
🔗Maumivu wakati wa kukojoa
🔗Homa/uchovu na kuchoka
🔗kizungu zungu na n.k

⚫ BAADHI YA DALILI ZA FIBROIDS AU UVIMBE KWENYE KIZAZI
---------------------------------------------------
🔗Kutokwa na damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi
🔗baadhi ya nyakati Kutokwa na uchafu mwingi na mweupe ukeni
🔗Maumivu makali ya kiuno wakati wa hedhi
🔗Tumbo kuuma sanaa chini ya kitovu
🔗Hedhi isiyokuwa na mpangilio
🔗Maumivu wakati wa tendo la ndoa
🔗Maumivu makali wakati wa hedhi
🔗kukosa hamu ya tendo la ndoa na n.k

⚫ BAADHI YA DALILI ZA HORMONE IMBALANCE (mvurugiko wa vichocheo)
--------------------------------------------
🔗ukavu ukeni
🔗Maumivu wakati wa tendo la ndoa
🔗Hedhi ya mabonge mabonge
🔗kukosa ute wa uzazi ukiwa siku za hatari
🔗kupitisha baadhi ya miezi bila kuingia period
🔗Kutoa jasho jingi usiku
🔗Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
🔗Kukosa hamu kabisa ya tendo la ndoa
🔗Hedhi isiyo na mpangilio na n.k

⚫ BAADHI YA DALILI ZA UGUMBA
..................................
🔗Kutoshika ujauzito wakati unakutana na mwanaume
🔗Kutoingia kwenye siku za hatari
🔗Kukosa ute wa siku za hatari
🔗Zaidi ya mwaka bila kupata ujauzito huku ukishiriki tendo la ndoa na mwenzio

⚫ k**a wewe unasumbuliwa na changamoto moja wapo kati ya hizo basi usikae kimya wasiliana nasi uweze kutatua changamoto yako sasa

0688 638 481
0625 438 481
AJAM HERBAL CLINIC
---------------------------------------------------

TATIZO LA KUZIDI KWA KIWANGO CHA ACID TUMBONI (ACI REFLUX-GERD)Gastroesophageal reflux disease (GERD).-Ni hali inayotoka...
27/05/2026

TATIZO LA KUZIDI KWA KIWANGO CHA ACID TUMBONI (ACI REFLUX-GERD)
Gastroesophageal reflux disease (GERD).
-Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia.

zungu
0688 638 481
Ajam herbal clinic
------------------------------------

DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux)
-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️

1.🔗 Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.🔗 Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.🔗 Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.🔗 Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.🔗 Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.🔗 Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.🔗 Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.🔗 Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.🔗 Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.🔗 Kupata kikokozi kisichoisha
11.🔗 Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.🔗 Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.🔗 Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.🔗 Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.🔗 Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.🔗 Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.🔗 Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.🔗 Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.🔗 Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.🔗 Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.🔗 Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.🔗Kichefuchefu na kutapika.
23.🔗 Maumivu ya Masikio
24.🔗 Kupata ganzi kwenye vidole vya miguu au mkono.

BAADHI YA MADHARA YA ACID REFLUX

1.🔗 Saratani/Kansa ya koo
2.🔗 Kupungua kwa ukubwa wa koo/Kuziba kwa koo(EUSOPHAGEAL STRICTURE)
3.🔗 Wasiwasi/Khofu isiyokuwa na kikomo.
4.🔗 Kukosa amani ya kuishi duniani na kuona dunia nzima imekutenga
5.🔗 Kupata Bawasiri kutokana na kujisaidia choo Kigumu
6.🔗 Kupoteza kuwezo wa kushiriki tendo (Wanawake & wanaume)
7.🔗 Mwili kudhoofika na kukonda kupita kiasi. Hasa pale Acid reflux hupelekea kupotea hamu ya kula.
8.🔗 Kunenepa kupita kiasi. Hasa pale Acid hupelekea upate njaa mara kwa mara na kupelekea kula mara kwa mara.
9.🔗 Kupata Fangasi wa mdomoni na katika mfumo mzima wa chakula
10.🔗 Kupata ngiri ya Kifua /Hiatal hernia.

MAMBO YANAYOWEZA KUCHOCHEA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI
1.🔗 Uvutaji wa sigara
2.🔗 Unywaji wa pombe
3.🔗 Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine k**a vile Kahawa,Chocolate, Soda nk
4.🔗 Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa
5.🔗 Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana.
6.🔗 Kutumia baadhi ya Madawa k**a vile ASPIRIN
7.🔗 Ngiri ya kifua pia husababisha GERD lakin pia GERD huweza kisababisha Ngiri ya Kifua(Hiatal hernia)
8.🔗 Kuwa Mjamzito
9.🔗 Uzito kupita kiasi (Obesity)
10.🔗 Matatzo ya mmeng'enyo wa chakula au kuchewa Kujisaidia pindi uhisipo haja kubwa.

TANDIKA SOKONI
DAR ES SALAAM
zungu
0688 638 481

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AJAM herbal plus posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share