Tanlink Medical Tourism Agency

Directions Website

Tanlink Medical Tourism Agency The Most Reliable Medical Travel Agency Dealing with Facilitation Of Medical Treatment Globally. CONTACT US:
0786-33-34-64
0763-36-34-64

Happy Nyerere Day
14/10/2026

Happy Nyerere Day

Tanlink Medical Tourism Agency tunawatakia Wiki Njema ya Huduma kwa Wateja!Kwetu, huduma bora si wajibu tu β€” ni kujali, ...
06/10/2026

Tanlink Medical Tourism Agency tunawatakia Wiki Njema ya Huduma kwa Wateja!

Kwetu, huduma bora si wajibu tu β€” ni kujali, kusikiliza na kuweka mahitaji ya mteja mbele.

Tanlink Medical Tourism Agency inachukua nafasi hii kumpongeza Dkt. Happiness Rabiel (MD, MMed, MSc, FCS-ECSA, FACS) Dak...
06/10/2026

Tanlink Medical Tourism Agency inachukua nafasi hii kumpongeza Dkt. Happiness Rabiel (MD, MMed, MSc, FCS-ECSA, FACS) Daktari Bingwa Bobezi wa magonjwa ya Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu, baada ya kutunukiwa tuzo ya Daktari Bora wa Mwaka 2026 katika Tanzania Health Summit Awards 2026.

Tuzo hiyo imekabidhiwa kwake na Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, katika hafla iliyowakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya afya nchini.

Dkt. Happiness Rabiel ni miongoni mwa madaktari bingwa wa upasuaji wa ubongo (Neurosurgeons) wa k**e wa kwanza wawili nchini Tanzania, na amejijengea nafasi ya kipekee kupitia uongozi wa kitabibu, ubobezi katika upasuaji wa ubongo na jitihada za kupanua upatikanaji wa huduma za kibingwa za upasuaji katika Afrika Mashariki.

Kwa sasa, Dkt. Rabiel anahudumu k**a Mkuu wa Idara ya Upasuaji wa Jumla (General Surgery) na Kitengo cha Neurosurgery KCMC na Chuo Kikuu KCMC.

Kupitia Kambi za matibabu ya kibingwa zinazofanyika hospitali ya KCMC kwa uratibu wa Tanlink amekuwa mstari wa mbele katika kutoa huduma za kibingwa kwa wagonjwa mbalimbali , Hongera sana Dkt. Happiness Rabiel .

PONGEZI
28/09/2026

PONGEZI

28/09/2026

Usikubali maumivu ya kichwa, ubongo, mgongo na uti wa mgongo kuendelea kukusumbua. Royal Zonal Referral Hospital – Mwanza, kwa kushirikiana na Andalusia Hospital – Cairo, Egypt, chini ya uratibu wa Tanlink Medical Tourism Agency, inakuletea Kambi ya Uchunguzi na Matibabu ya Kichwa, Ubongo, Mgongo, Uti wa Mgongo na Bobezi.

🩺 Huduma zitakazotolewa zinahusisha:
βœ… Uchunguzi na matibabu ya uvimbe kichwani na kwenye ubongo
βœ… Maumivu sugu ya kichwa
βœ… Magonjwa ya mishipa ya damu kwenye ubongo
βœ… Maumivu sugu ya mgongo na matatizo ya pingili za uti wa mgongo
βœ… Nyama za puani na matatizo ya puani
βœ… Uvimbe shingoni na kwenye koo
βœ… Kupoteza uwezo wa kuona na kusikia

πŸ“… Tarehe: 28 Septemba – 02 Oktoba 2026
πŸ“ Royal Zonal Referral Hospital, Mwanza – Ilemela, Mwanza

⚠️ Usisubiri maumivu yaongezeke. Jisajili mapema kabla ya tarehe 28 Septemba 2026.

πŸ“ž Kwa maelezo na usajili:
0654-725-770 | 0760-00-35-35

27/09/2026

ASANTE KARIAKOO ( KARIAKOO FESTIVAL )

26/09/2026
25/09/2026

Address

Posta Mpya Mtaa Wa Kisutu/india Haidery Plaza Gorofa Ya Pili
Dar Es Salaam
12324

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanlink Medical Tourism Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share