Mwita pharmacy Tz

Directions

Mwita pharmacy Tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwita pharmacy Tz, Medical and health, Dodoma.

30/10/2026
30/10/2026

IDARA YA FAMASI IKIENDELEZA KAMPENI ZAKE ZA KUTOA ELIMU JUU YA MADHARA YATOKANAYO NA MATUMIZI HOLELA YA DAWA KATIKA JAMII. TULIKUA KATIKA SHULE YA SEKONDARI KARAMBI ILIYOPO KATA YA KASHARUNGA WILAYA YA MULEBA,TULITOA ELIMU AMBAYO ITASAIDIA JAMII KUEPUKANA NA MADHARA MAKUBWA YATAKAYOWEZA WAPAATA HIVYO,TUNAWAASA WATANZANIA KUACHA KUTUMIA DAWA KIHOLELA KWANI SI SALAMA KWA AFYA .
Wizara Ya Afya Pharmacy Council-Tanzania Sisi Ni Familia Muleba DC

27/10/2026

03/10/2026

Pharmacy Council-Tanzania TMDA Wizara Ya Afya millardayo

01/10/2026

📚💊 ELIMU KWA WANAFUNZI – MATUMIZI HOLELA YA DAWA

Leo tumepata nafasi nzuri ya kuzungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kiteme kuhusu madhara yatokanayo na matumizi holela ya dawa.

Katika elimu hiyo, tulijadili umuhimu wa:
🔹 Kutotumia dawa bila ushauri wa mtaalamu wa afya
🔹 Kufuata dozi na maelekezo ya matumizi ya dawa
🔹 Kuepuka kutumia dawa za mtu mwingine au kumpa mwingine dawa tulizoandikiwa
🔹 Kutokomeza matumizi yasiyo sahihi ya antibiotics na kuzuia usugu wa vimelea dhidi ya dawa
🔹 Kutambua madhara yanayoweza kujitokeza kutokana na matumizi yasiyo sahihi ya dawa.

🎯 Lengo letu ni kujenga kizazi chenye uelewa sahihi kuhusu matumizi salama na sahihi ya dawa.

đź’Š MATUMIZI SAHIHI YA DAWA, AFYA SALAMA.

🙏 Asanteni wanafunzi na uongozi wa Shule ya Sekondari Kiteme kwa kutupa nafasi ya kushirikiana katika kuelimisha jamii.

DrugSafety AntimicrobialResistance KitemeSecondarySchool AfyaKwaJamii

07/08/2026

15/07/2026

Wizara Ya Afya Pharmacy Council-Tanzania

14/07/2026

Stay tuned

Pharmacy Council-Tanzania
Wizara Ya Afya

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwita pharmacy Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share