Afya Na Debora

  • Home
  • Afya Na Debora
Call Directions Contact the business

Afya Na Debora Ninasaidia kuondoa Changamoto Za kiafya Kwa Magonjwa yasiyo ya kuambukiza

🔥🔥🔥Tuna bidhaa nzuri sana kwa ajili ya watoto njoo umpatie mtoto wako mambo ni 🔥🔥🔥🔥piga 0677 048 031
21/04/2024

🔥🔥🔥Tuna bidhaa nzuri sana kwa ajili ya watoto njoo umpatie mtoto wako mambo ni 🔥🔥🔥🔥piga 0677 048 031

Pid inatibika kabisa piga +2550677048031
21/04/2024

Pid inatibika kabisa piga +2550677048031

*FAHAMU UMUHIMU WA MATUNDA KATIKA AFYA ZETU*👇👇👇👇👇👇👇👇*🍒🍒🍉🍌🍋🥭🍒🫐🍈🥭**Matunda yote yana faida mwilini kiafya lakini matunda y...
18/04/2024

*FAHAMU UMUHIMU WA MATUNDA KATIKA AFYA ZETU*
👇👇👇👇👇👇👇👇
*🍒🍒🍉🍌🍋🥭🍒🫐🍈🥭*
*Matunda yote yana faida mwilini kiafya lakini matunda yanatofautiana kifaida. Zifuatazo ni faida za kula matunda ya aina Mbalimbali;*

*FAIDA ZA TANGO*🥒
1. Kuzuia kisukari, kuboresha mfumo wa damu na kuondoa kolesteroli mwilini.
2. Chanzo kikubwa cha Vitamin B.
3. Kusaidia kutunza ngozi.
4. Kuongeza maji mwilini.
5. Kukata hangover.
6. Kuimarisha mmeng’enyo wa chakula mwilini.
7. Kuzuia saratani mwilini.
8. Kusaidia kupungua uzito.
9. Kuondoa maumivu na kuboresha viungo vya mwili.
10. Kuondoa harufu mbaya ya kinywa.

*FAIDA ZA PAPAI*
1. Kuua na kuondoa mazalia ya minyoo mwilini.
2. Kusaidia kutibu vidonda vya tumbo.
3. Kuboresha mmeng’enyo wa chakula.
4. Majani yake huleta ahueni kwa wagonjwa wa saratani.
5. Kupunguza uvimbe (anti-inflammatory).
6. Kuboresha misuli na neva mwilini.
7. Kusaidia kumeng’enya protini.
8. Kuboresha kinga ya mwili.
9. Kuboresha macho.
10. Kuboresha mfumo wa hewa

: *FAIDA ZA UBUYU*
1. Kuzuia uhalibifu na mikunjo ya ngozi.
2. Kusaidia katika kupunguza uzito wa mwili.
3. Kuimarisha moyo.
4. Kusafisha ini na kuondoa sumu.
5. Kiwango kikubwa cha vitamin C.
6. Chanzo cha madini ya Calcium.
7. Kuimarisha kinga ya mwili.
8. Kuimarisha figo.
9. Kuimarisha mifupa na meno.
10. Kuimarisha mfumo wa fahamu

*🥭FAIDA ZA EMBE*
1. Kupunguza kiwango cha asidi mwilini.

2. Kuboresha mmeng’enyo wa chakula.

3. Kurekebisha kiwango cha insulin.

4. Kuboresha macho.

5. Kusafisha damu.

6. Kuboresha ngozi.

7. Kuzuia saratani.

8. Kuimarisha kinga mwilini.

9. Kutibu joto kiharusi (heat stroke).

10. Kupunguza kiwango cha kolesteroli.

*FAIDA ZA NANASI*🍍
1. Chanzo kikubwa cha vitamin A.

2. Kusaidia kumeng’enya chakula.

3. Inarekebisha mapigo ya moyo.

4. Kuimarisha mifupa ya mwili.

5. Ina kiwango kidogo cha kalori.

6. Inasaidia kuzuia mafua na homa.

7. Kuimarisha mfumo wa kinga.

8. Chanzo cha vitamin C.

9. Inapunguza uvimbe.

10. Kupunguza spidi ya kuzeeka kwa seli mwilini

*FAIDA ZA NJEGERE*🫛

1. Kuzuia saratani ya tumbo.

2. Kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu.

3. Chanzo kizuri cha protini.

4. Kuboresha ufanyaji kazi wa ini.

5. Ina kiwango kidogo cha kalori.

6. Kuboresha kinga ya mwili.

7. Inaleta nguvu mwilini.

8. Ina virutubisho vya nyuzi nyuzi.

9. Inazuia kuzeeka haraka.

10. Imejaa virutubishi vingi muhimu mwilini.

*FAIDA ZA PILIPILI HOHO*🫑
1. Husaidia kupunguza uzito.

2. Kuboresha mzunguko wa damu.

3. Inapunguza kolesteroli mwilini

4. Kuzuia shinikizo la damu.

5. Ina kiwango kidogo cha kalori.

6. Nzuri kwa kuboresha macho.

7. Kuimarisha mfumo wa kinga.

8. Inatibu anemia.

9. Inazua saratani.

10. Kuboresha moyo.

K**a tayari una maradhi jitibu kwanza ili baadae ukila matunda yalete faida ipatikanayo ndani yake.

K**a una changamoto yoyote ya maradhi usisite kuwasiliana nami, tuna tiba lishe ya asili ambayo huondoa tatizo la maradhi yako na kukufanya uishi kwa matumaini bila magonjwa.

*Hopefully tumeelewana Katika somo la LEO BWANA*
Naimaniii Tutazingatia
*atusaidie*

14/04/2024

*JINSI YA KIPEKEE YA KUEPUKA NA KUJITIBU MAGONJWA YAKO YOTE SUGU HUSUSANI KISUKARI NA PRESSURE BILA KUTUMIA DAWA ZA KIHOSPITALI.*

*NA HII NI SIRI UKIAMUA UICHUKUE ICHUKUE, NA UKIAMUA KUIPOTEZEA UTAKUWA UMEJIPOTEZEA NA KUJIPOTEZA MWENYEWE.*

Asilimia kubwa ya shughuli zetu, vyakula, Vinywaji , mazingira na hata mifumo yetu ya maisha huwa inapelekea miili yetu kukusanya sumu.

Mfano tu ukiwa unapiga mswaki huenda dawa unayoitumia kuswakia ikawa ni sumu hasa k**a imetokana na Flouride nakushauri soma vizuri dawa yako unayoitumia kila siku na ujue maana yake na ujiulize. Vyakula unavyotumia kila siku hata k**a vina faida rukuki lakini kuna vingine haviendani na wewe na badala ya kuwa na manufaa inakwenda kuwa sumu kwako, hata k**a ni vizuri lakini namna tu mwili unavyofanya kazi matokeo ya mwisho ya chakula huwa ni sumu na ndiyo maana Mungu akaweka mifumo ya kusaidia kusafisha kuondoa sumu alijua ni lazima tu utaingiza sumu kwa hiyari yako au kwa lazima, unaweza kuchagua chakula lakini uwezi kukwepa kuvuta hewa nayo hakuna hewa ya tajiri wala maskin kwahiyo utavuta hewa chavu na nzuri tayari ni sumu hiyo umeingiza, ujala dawa, ujafua, ujaoga na kupaka mafuta, ujanywa nk

Swali la kujiuliza ni kwamba, wewe na mimi wote tunaingiza sumu kila siku je,tunafanya nini kuisaidia miili yetu kuondoa sumu hizi?

Upo ushauri wa jumla wa kuweza kuisaidia miili yetu kuondoa sumu kiasili kwamkutumia vyakula na matendo yankusaidia miili yetu tunaweza kuita (Traditional cleansing and Detoxification).

Hizi ni njia za kawaida za asili ambazo ni salama sana ikiwa zitafanywa na mtu na kwa usahihi ingawa zikikosewa zinaweza kuleta madhara makubwa sana badae bila kufahamu ingawa kwa ukubwa wake hauwezi kufanana na yale madhara yaliyotokana na dawa za hospitali.

Huwa tunafundishwa kula matunda na mbogamboga kwa wingi, kunywa maji ya kutosha,kutengeneza vitu vya asili mfano maji yaliyochanganywa na ndimu au limao, tangawizi, matango, vitunguu swaumu nk, kufanya mazoezi na kulala usingizi wa kutosha na kuongeza amani kwa kupubguza stress (Msingo wa mawazo)

Kufanya hivi ni vizuri sana na ni njia ambazo kila mmoja wetu anatakiwa kuzitumia na kuziishi ingawa sasa kuna wakati mtu anaweza kuvifanya na akapata matokeo hafifu na kushindwa kufikia malengo yake makubwa au akashindwa kuyafurahia matokeo yake kwasababu ya kuenda kutopata ushauri wa sahihi, kuchanganya vitu visivyo sahihi au kwa viwango visivyo sahihi lakini pia nguvu yake ikawa ndogo ukilinganisha na ukubwa wa mahitaji au changamota kwa ndani.

Pamoja na kufanya hivi mara nyingi kuliko kutumia dawa huwa tunashauriwa kufanya (Organic cleansing & Detoxification) kwasababu hii ni ya asili zaidi lakini imetafitiwa na imetengenezwa kitaalam zaidi.

Organic Cleansing/Detoxification ni nini?

Hii ni program maalum inayolenga kusaidia na miil yetu kuondoa sumu na kurekebisha utendaji wake.

Kwa.mwonekano ni k**a dawa za kihospitali hivi lakini kwa namna ilivyoandaliwa imetokana na mimea na matunda pamoja na mbegu za asili zenye manudaa makubwa hivyo havina madhara kabisa na hata zisipokusaidia kwa bahati mbaya havitakuletea madhara kabisa.

FAIDA ZA CLEANSING/DETOXIFICATION NI:
💪Kusafisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ambapo ndiyo engene ya maisha na afya ya kila mmoja wetu na hapa itasaidia sana kuhakikisha unapata choo vizuri na kilaini bila kutumia nguvu, kumaliza matatizo ya tumbo kuwaka moto, kujaa gesi (Acid reflux), vidonda vya tumbo na kuuwa bakteria wabaya, kiungulia na kupinya vidinda vya tumbo na kukinga pia.

💪 Kuboresha usagaji l, unyonyaji na usambazaji wa chakula mwilini.

💪 Kusafisha damu na kuondoa mafuta mabaya (Bad Cholesterol) mwilini hususan kwenye mishipa ya damu, kwenye moyo, mapafu na maeneo mengine ikiwa pamoja na kuyeyusha uvimbe na nyama zembe nje na ndani ya mwili mfano Goita, Bawasiri, ovarian cyst na Fibroids, Tezi dume nk.

💪 Kupunguza uzito na kitambi kwa wenye uzito mkubwa na miili mikubwa.

💪 Kuboresha mzunguko wa damu na kudhibiti tatizo la pressure na kisukari.

💪Kupandisha kinga ya mwili na uwezo wa mwili kujilinda na magonjwa aina yote.

💪 Kuboresha mwonekano wa mwili (Shape) pamoja na ngozi na kupunguza kasi ya kuzeeka (Ant aging)

💪 Kusaidia afya ya maungio, mifupa na misuri.

💪 Kuboresha usingizi na kuresha kumbukumbu na uwezo wa kufikiri.

Haya nu baadhi ya manufaa tu kwa namna inavyofanya kazi hii program na bei ya hii program mzima ni Tshs 452,500/= ikiwa ulishawahi kuhangaika sana kutumia njia mbalimbali na ulipata matokeo hongera sana na ili uone utofauti wa hizo njia na hii nakushauri jaribu kutumia hii lakini pia k**a iliwahi kutumia njia zingine na hukuona kabisa matokeo mazuri wala usikate tamaa maana kabla ya kupatia lazima ukosee mara nyingi sana.

Tumeandaa kampeni ya kusaidia watu wachache ambao watakuwa mfano hivyo k**a utapenda kuwa mmoja wapo karibu na kwa watu watatu wa mwanzo wataipata program hii yote kwa *offer ya Tshs 372,500 tu* Sijui k**a utawahi offer hii maana wahitaji wanaweza kuwa wengi ila unaweza kupiga simu +255677048031au ukaja moja kwa moja whatsapp.

Kujali afya yako ni ishara ya kujipenda na kujithamini wewe na unaowapenda na kukutegemea. Pia afya Yako ndiyo mtaji wako,bila afya hakuna Chochote.

*Anatic herbal essence soap*....Hii imetengenezwa na:1)Asali wa nyuki wa mwitu......2)Mafuta ya n**i.....3)Mafuta ya mch...
08/04/2024

*Anatic herbal essence soap*....

Hii imetengenezwa na:

1)Asali wa nyuki wa mwitu......

2)Mafuta ya n**i.....

3)Mafuta ya mchikichi.....

4)Majani ya mchaichai....

FAIDA ZA SABUNI HII YA BF SUMA....

1:Inaondoa makovu na mabaka mwilini....

2:Inaondoa miwasho,vipele.....

3:Ni nzuri kuitumia k**a after shave kwa wanaume.....

4:Huua bakteria kwenye ngozi....

5:Inatibu chunusi, upele, harara.....

6: Nzuri kwa watu wenye mapunye....

7:Inasaidia kukuza nywele na kulinda zisikatike hovyo kwa kuoshea k**a shampoo.....

8:Inalinda ngozi yako na mionzi ya jua..
Nzuri pia hata kwa wale wanaotumia cream kali....

9: Nzuri kwa watoto hata awe mchanga....

hii ndio mkombozi wa ngozi yako na matatizo yako.

Kwa mawasiliano zaidi 0677048031

*MADHARA YA SARATANI YA TEZI DUME:*Yafuatayo ni madhara ya tezi dume iliyotanuka ambayo ni pamoja na; *a) Kibofu cha mko...
26/10/2023

*MADHARA YA SARATANI YA TEZI DUME:*
Yafuatayo ni madhara ya tezi dume iliyotanuka ambayo ni pamoja na;

*a) Kibofu cha mkojo kuuma; hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharubu figo na ini n.k*

b) Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa.

*c) Figo kushindwa kufanya kazi (kidney failure).*

*d) Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika).*

e) Ugumba (infertility, frigidity for men).

*f) Kutokea kwa majipu sehemu ya tezi dume.*

*g) Kifo.*

*Madhara Ya Upasuaji wa Tezi Dume 👇👇:*
Baada ya mgonjwa wa saratani ya tezi dume kufanyiwa upasuaji, madhara yafuatayo yanaweza kutokea;

*1) Kukosa uwezo wa kufikia mshindo yani hutoi shahawa (retrogade ej*******on).*
Wazee wengi hulalamika sana baada ya upasuaji wa tezi dume hivyo ushauri nasaha lazima utolewe ili mgonjwa ajue nini madhara yake kabla ya operation.

*2) Kuziba kwa njia ya mkojo kutoka na kuumia kwa njia hiyo wakati wa kufanyiwa upasuaji.*
Baada ya upasuaji wa tezi dume, mgonjwa anapoendelea kupona kovu linaweza kuziba njia ya mkojo.

*3) Shida ya kushindwa kudhibiti mkojo usitoke ovyo (Urine Incontinence).*
Ni kawaida kwa mgonjwa kushindwa kudhibiti kutoka kwa mkojo katika siku za mwanzo baada ya operesheni. Hata hivyo hali hii hujirekebisha baada ya siku kadhaa kupita.

*4) Kutokwa na damu katika siku za awali baada ya upasuaji.*
Mara baada ya upasuaji wa tezi dume kupitia njia ya mkojo, Kidonda kwenye tezi dume kinaweza kuvuja damu ambayo itaonekana katika mkojo.

*5) Ugumba.*
Kwa kawaida wakati wa tendo la ngono, mbegu za kiume kutoka kwenye korodani huingia kwenye urethra karibu na kijitundu cha kibofu cha mkojo. Wakati wa tendo la ndoa, misuli maalumu hufunga kijitundu hicho ili kuzuia mbegu zisiingie kwenye kibofu badala yake zielekee kwenye urethra ya katika uume. Hata hivyo, upasuaji wa tezi dume huondoa misuli hiyo na kufanya mbegu kuingia kwenye kibofu cha mkojo badala ya kuendelea kwenye urethra ya uume. Shahawa hizo hatimaye hutolewa nje ya kibofu pamoja na mkojo.

X POWER COFFEEHii ni kahawa iliyotengenezwa Kwa mchanganyiko Wa vitu Zaidi ya vinne yani;1. Fresh maca2. Ginseng powder3...
26/10/2023

X POWER COFFEE

Hii ni kahawa iliyotengenezwa Kwa mchanganyiko Wa vitu Zaidi ya vinne yani;

1. Fresh maca
2. Ginseng powder
3. Tongkat ali
4. Epimedium
Viambata hivi vimetoka nchi za
KOREA,CHINA,USA,INDIA,PERU

Kahawa hii haina CAFFEINE,imetolewa Kwa kutumia teknolojia bora ili kuwafaa watu Wa aina zote.

Kazi muhimu za Hii Kahawa;

1. Kuimarisha misuli ya uume kuwa bora zaidi na Nguvu mara dufu wakati Wa tendo.

2. Kuupa mwili Nguvu zaidi

3. Kusaidia kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi yani ukimaliza mshindo Wa kwanza unauwezo Wa kuendelea zaidi.

5. Kumpa mtu hamu ya tendo la ndoa hata k**a iliisha kabisa.

6. Kuondoa uchovu na stress,kuzuia hatari ya kupata Magonjwa ya moyo.

7. Kuilinda na kuipa afya tezi ya mwanaume

8. Kuufanya uume usimame barabara k**a msumari

9. Kusafisha mishipa ya damu

10. Kuongeza ubora Wa mbegu za mwanaume na kuzifanya ziwe na kasi zaidi
11. Haina kemikali ni ya asili kabida 100%

Tunapatikana Dar Es Salaam mbezi mwisho pia mikoani tunatuma.

EPUKA AIBU YA KUFIKA HARAKA KILELENI.X POWER COFFEE

Kwa mahitaji piga/njoo whatsup.
0764151332

26/10/2023

*UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME – CHANZO, DALILI NA TIBA ZAKE*

*Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kushiriki tendo la ndoa kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. Tatizo hili huripotiwa kuwa katika nusu ya wanaume. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria ugonjwa na kuvuruga ndoa za watu, ni tatizo linalohitaji tiba.*

*Vifuatavyo ni vyanzo vya upungufu wa nguvu za kiume:*
*♦️ Kuzidiwa na wingi wa halemu (Cholesterol), Shinikizo la damu (B.P) na ugonjwa wa moyo*
*♦️ Kuvuta sigara na unywaji wa pombe*
*♦️ Uzito kupita kiasi na unene uliozidi (kitambi)*
*♦️ Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi*
*♦️ Ugonjwa wa Kisukari (diabetes)*
*♦️ Kuwa na mawazo na wasiwasi (stress)*
*♦️ Matumizi ya madawa mbalimbali (drug abuse)*
*♦️ Uzee*
*♦️ Kuwa na tatizo la kibofu*
*♦️Tabia za kujichua kwa mda mrefu (ma********on)*
*♦️Kutopata usingizi kamili*
*♦️Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa k**a kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine*

*Zifuatazo ni dalili za upungufu wa nguvu za kiume:*
*♦️ Kuwahi kufika kileleni*
*♦️ Kukosa hamu ya mapenzi*
*♦️ Kushindwa kurudia tendo la ndoa*
*♦️ Uume kusimama kwa ulegevu au kushindwa kusimamisha*
*♦️ Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji*
*♦️ Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo*
*♦️ Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)*
*♦️ Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji*

*Yafuatayo yanasaidia kupunguza au kuondoa kabisa tatizo la nguvu za kiume:*
*♦️ Fanya mazoezi – Angalau ya dakika 30 kwa siku*
*♦️ Kula vyakula asilia na nafaka kamili yaani zisizokobolewa*
*♦️ Usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi*
*♦️ Tibu magonjwa yako yanayokuweka hatarini k**a kisukari, moyo, punguza unene na mengine*
*♦️ Punguza kiwango cha halemu (choresterol) au mafuta yaliyozidi*
*♦️ Usivute sigara*
*♦️ Punguza au acha kunywa pombe*
*♦️ Punguza mawazo*
*♦️ Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9*
*♦️ Usitumie dawa zenye kemikali nyingi kwani huathiri mfumo wa uzazi*
*♦️ Kunywa maji ya kutosha*

*TIBA MADHUBUTI*

*Matibabu ya nguvu za kiume na vyanzo vyake yanatibiwa kikamilifu kwa virutubisho vinavyotokana na vyakula. Tuwasiliane tukupe ushauri na utaratibu wa matibabu, utapona, insha Allah.*

*Usisahau kushare,Asante kwa kushare*

*MAWASILIANO*

*Call/sms/WhatsApp* 0677048031

Unene uliopitiliza ni hali ya kuwa na uzito wa mwili unaovuka kiwango kinachokubalika kwa afya ya mtu. Sababu zinazopele...
20/10/2023

Unene uliopitiliza ni hali ya kuwa na uzito wa mwili unaovuka kiwango kinachokubalika kwa afya ya mtu. Sababu zinazopelekea unene uliopitiliza ni pamoja na:

1. Lishe duni: Kula vyakula vyenye kalori nyingi, sukari, mafuta mengi, na chumvi nyingi

2. Kutofanya mazoezi ya kutosha: Kutokuwa na shughuli za kimwili

3. Mabadiliko katika mtindo wa maisha: Kuishi maisha ya kukaa sana, kutumia muda mwingi katika viti vya ofisi au nyumbani

4. Mfumo wa chakula usiofaa: Kula mara kwa mara vyakula visivyo na lishe, fast food, au vyakula vilivyosindikwa

5. Urithi wa familia: Baadhi ya watu wana urithi wa familia

6. Matatizo ya kiafya: Hali za kiafya k**a vile upungufu wa homoni, ugonjwa wa kisukari, na matatizo ya akili

7. Matumizi ya dawa: Baadhi ya dawa, k**a vile dawa za kulevya, dawa za kupunguza maumivu
Unapata magonjwa haya:

1. Moyo:k**a vile shinikizo la damu, ugonjwa wa moyo na kiharusi.

2. Kisukari cha aina ya pili

3. Magonjwa upumuaji ikiwa ni pamoja na shida za kupumua wakati wa usingizi (sleep apnea) na pumu.

4. Magonjwa ya ini: unaweza kuathiri afya ya ini na kusababisha mafuta kukusanyika ndani yake, hali inayojulikana k**a nonalcoholic fatty liver disease (NAFLD).

5. Magonjwa ya viungo: kuongeza hatari ya magonjwa yanayohusiana na viungo, k**a vile ugonjwa wa viungo vya mifupa (osteoarthritis) na maumivu ya mgongo.

6. Saratani ya matiti, uterasi, tezi dume na koloni.

7. Matatizo ya akili: afya ya kiakili k**a vile unyogovu na wasiwasi.

8. Matatizo uzazi ugumba, shida wakati wa ujauzito na hatari zaidi ya kutokea kwa kasoro za kuzaliwa.

Je unajua kwanini hupungui hata ukifanya mazoezi na ukipungua unarudi tena kuwa mnene

A Urinary Tract Infection (UTI) is an infection caused by microbes—organisms too small to be seen without a microscope. ...
07/08/2023

A Urinary Tract Infection (UTI) is an infection caused by microbes—organisms too small to be seen without a microscope. Normally, bacteria that enter the urinary tract are quickly removed by the body before they cause symptoms. But sometimes bacteria overcome the body’s natural defenses and cause infection.

UTI ,Fungus, miwasho, harufu mbaya na kutokwa na uchafu yote yanatibika # # piga namba 0677048031

Address


Telephone

+255764151332

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Na Debora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Afya Na Debora:

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed health & beauty business?

Share